Tunasubiri Askofu Gwajima aje atoe ushari wa mwisho kabla Dec 9

Tunasubiri Askofu Gwajima aje atoe ushari wa mwisho kabla Dec 9

HaMachiach

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
3,448
Reaction score
6,211
Askofu popote ulipo naamini uko salama

Sisi Watanzania tunasubiri uje utoe ushauri wako wa mwisho kabla ya kufika Dec 9 kama ulivyo fanya kabla ya tarehe 29 October

Watakao puuzia ushauri wako wasije wakalia badae tunakuomba usimame utimize jukumu lako kabla ya tarehe tajwa .
 
Ustadhi utamsikia tare 7/8 hivi, na alivo muhuni hasemi moja kwa moja kua andamaneni, utasikia mimi nipo pamoja na wananchi 🤣
 
Back
Top Bottom