Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata aliyemteua anamgwayaKwanini ungoje wakati mshindi anajulikana? Tangu lini Bashite akashindwa na kiongozi yoyote yule nchii hii zaidi ya akiyemteua tup?
Hata aliyemteua anamgwayaKwanini ungoje wakati mshindi anajulikana? Tangu lini Bashite akashindwa na kiongozi yoyote yule nchii hii zaidi ya akiyemteua tup?
BASATA are set to lose this battle
Kweli kabisa hii nchi kuna watu ni wakubwa sanaHata aliyemteua anamgwaya
BASATA INAFIKA HADI KENYA AKIWA KENYA JHATATENDA KOSA ILA AKIRUDI NDO ATAHUKUMIWA KWA MUJIBU WA SHERIA TOA KICHWANI MAANA TAFSI ZA SHERIA NI PANAWatanzania waleo wengi wao wanaendeshwa kwa mihemko., huyu msanii kudharau mamlaka kutapelekea ukaidi kwa baadhi ya wasanii pia kwa BASATA. Leo mtanzania anamtetea msanii huyu kisa et ni mlipa kodi shame!