Tunasubiri mwisho wa Kodi/Tozo ya REA

Tunasubiri mwisho wa Kodi/Tozo ya REA

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,647
Reaction score
9,604
Wakati asilimia kubwa ya nchi inakaribia kuunganishwa umeme hasa maeneo ya vijijini ambapo palikua hapajafikiwa kwa asilimia kubwa.

Ikumbukwe kodi/tozo ya REA iliwekwa mahsusi kwa ajili ya kusaidia kupatikana kwa fedha za kusambaza umeme vijijini ambapo mpaka sasa zaidi ya 84% ya vijiji vyote Tz vimefikiwa na umeme.

Macho yetu tunasubiri kuondolewa kwa tozo ya REA kwenyebidhaa za nishati ili kupunguza mzigo kwenye garama za nishati hasa umeme na mafuta.
 
Usitarajie hilo kwa hii serikali iliyojikita kukamua wanyonge.....
 
ikifika 100%, tozo za REA wataendelea kukata kwa ajili ya 'meintenesi'
 
Usitarajie hilo kwa hii serikali iliyojikita kukamua wanyonge.....
Hata mm nimeliona hilo kwa maana hii serekali ipo sharp sana kwenye mapato kiasi cha kuiondolea utu kabisa
 
Wakiondoa REA wataingiza TARURA, tumezoea tozo kwa hiyo usitegemee unafuu wa aina, itakuwa bandua bandika
 
Hawataki kuona wananchi wenye furaha...muda wote mteseke tuu.
Hawana utu kabisa hawa watawala
 
Back
Top Bottom