Au hawana ubongo wana mavi kichwani eti? Daah Nicholas mimiHawa jamaa ni wapumbavu sana, unaunda tume kuonyesha nini? Uchaguzi fake uliojenga Raisi fake, na raisi fake anaunda tume fake ya kuangalia mauwaji aliyoyaasisi yeye.
Walisema kila mtu afute zile video, wakawakamata watu, wakazima na data na internet, leo tume ya kipumbavu inataka utume video za ushahidi, huku TCRA wanasema kusambaza picha hizo ni kosa kisheria.
Inawezekana Chande alikua mjinga siku zote ila hakupata nafasi ya kuonyesha ujinga wake tu, hatimae ameipata.
Chande aendelee kupiga tu pESA ila hakuna mtu mwenye akili timamu atatoa maoni.Murder anaunda tume ili imechunguzee yeye kwamba watz hatuna akilia au ni vichaa ??
Alietoa amri ya kupigwa risasi ni raisi inakuaje muuaji anaunda tume yakumchunguza maujia yake ilihali anajua kila kitu? Ni vivhaa pekee wataamini hayo majibu ya tume .
Mpaka sasa watu hawajapewa maiti za wapendwa hao , wambie watu ukweli kwamba mlichomq moto miili ya wapendwa wao kufuta ushahidi.
Sasa wanaanza kulazimisha watu eti legend ushahidi wenu hahahaha ushahidi gani zaidi ya ule uliotolewa na vyombo vya habari kama CCN, na n.k
Kwamba tuwape video na kipindi mnatutumia sms tufute video au mlikuwa sio ninyi?
Tunahitaji tume kutoka nje tutaipaushirikiano wa asilimia 100%
Wanakuyana na msajili wa vyama vyao ili wampe maaelekezo yao yakufuta chqmq pinzani hasa chadema, kwamba chademq ndio ilihusika kwenye matukio ya Mo29
Daaah Nichoka mimi