Tunatafuta Barista mwenye uzoefu wa kutengeneza kahawa yenye ubora

Joined
Dec 22, 2019
Posts
18
Reaction score
11
Tunatafuta Barista mwenye uzoefu wa kutengeneza kahawa na vinywaji mbalimbali kwa ubora wa hali ya juu, anayejali huduma kwa wateja na mwenye uwezo wa kufanya kazi kwa haraka bila kupunguza ubora.

Mahali: Dar es Salaam, Tanzania
Aina ya Kazi: Part Time

Majukumu
• Kutengeneza Cappuccino, Café Latte, Americano na Espresso
• Kutayarisha Cold Coffee ikiwemo iced latte, frappé na cold brew
• Kuandaa vinywaji maalum kulingana na mahitaji ya wateja
• Kuhakikisha usafi wa vifaa, eneo la kazi na bidhaa zinazotolewa
• Kutoa huduma bora na ya kirafiki kwa wateja

Sifa za Mwombaji
• Awe na uzoefu wa kufanya kazi katika café, coffee shop au hoteli
• Awe na ujuzi wa kutumia mashine za espresso, grinder na steam wand
• Awe na uwezo wa kutengeneza latte art kama rosetta, heart na tulip
• Awe na uwezo wa kufanya kazi katika mazingira yenye presha hasa nyakati za wateja wengi
• Awe na mawasiliano mazuri na huduma bora kwa wateja
• Awe tayari kufanya kazi zamu za asubuhi, wikendi na siku za mapumziko inapohitajika
• Awe makini katika usafi na ubora wa huduma

Tunatoa
• Ratiba ya kazi inayobadilika kulingana na mahitaji
• Malipo mazuri pamoja na tips
• Mazingira bora ya kazi na timu yenye ushirikiano

Jinsi ya Kutuma Maombi
Tuma CV yako kupitia:

Email: [email protected]
WhatsApp: 068 551 5332

Barista JD.png
 
Mimi sielewagi watu wanaokunywa vinywaji vya kiduwanzi kama hivyo.

Kwanza, havileweshi alafu vikombe vyao ni vya kichoyo-kichoyo. Pili, vinajaza inzi na mwisho havina swagger

Ngoja nifungue Balimi zangu za baridi alafu nione jinsi comment yangu itakavyotolewa mapovu ya reja reja
 
kama hujawah kwenda kwenye mahotel makubwa makubwa au Migahawa ya Osterbay na Masaki unaweza ukawaza kama unavyowaza.

Ila Foreigners ni weng pande zile na wanapendelea sana Kahawa.

Kamgahawa kadogo tu utakuta kikombe kidogo kile cha Espresso kinauzwa 3,000/-
Hizi Caffe late, cappucino etc ni kuanzia 5,000/- na kuendelea .
Na wateja wako wakutosha.

Ila ukiwa uko namtumbo ndan ndan au huku niliko mm , nanjilinji , huwez ukaona au kujua haya.😊😊😊😊
 
Safi sana
 
Attachments

  • IMG-20260715-WA0011.jpg
    IMG-20260715-WA0011.jpg
    138.7 KB · Views: 13
Mimi sielewagi watu wanaokunywa vinywaji vya kiduwanzi kama hivyo.

Kwanza, havileweshi alafu vikombe vyao ni vya kichoyo-kichoyo. Pili, vinajaza inzi na mwisho havina swagger

Ngoja nifungue Balimi zangu za baridi alafu nione jinsi comment yangu itakavyotolewa mapovu ya reja reja
Jiwe moja wanywa kahawa wanapiga chafya 😁

We jamaa sio poaaa
 
kama hujawah kwenda kwenye mahotel makubwa makubwa au Migahawa ya Osterbay na Masaki unaweza ukawaza kama unavyowaza.

Ila Foreigners ni weng pande zile na wanapendelea sana Kahawa.

Kamgahawa kadogo tu utakuta kikombe kidogo kile cha Espresso kinauzwa 3,000/-
Hizi Caffe late, cappucino etc ni kuanzia 5,000/- na kuendelea .
Na wateja wako wakutosha.

Ila ukiwa uko namtumbo ndan ndan au huku niliko mm , nanjilinji , huwez ukaona au kujua haya.😊😊😊😊
Mkuu, sijasema chochote kuhusu bei au eneo nilipo.

Wewe elewa kwamba niko exposed na ninakaa sehemu nzuri zaidi hapa kwenye nchi na eneo nililopo
 
Hebu rudia kusoma tena reply yako ya kwanza.😊😊😊😊

Mimi sielewagi watu wanaokunywa vinywaji vya kiduwanzi kama hivyo.
Hapa sio.
Na mm ndio nikakuambia kuwa

kama hujawah kwenda kwenye mahotel makubwa makubwa au Migahawa ya Osterbay na Masaki unaweza ukawaza kama unavyowaza.

Ila Foreigners ni weng pande zile na wanapendelea sana Kahawa.
Kupenda Kahawa sio uduwanzi.

Na nikakuonyesha jinsi gan inathaminiwa na inavyouzwa.
Na ni sehem gan haswa inauzwa na wanauziwa wakina nani.

Wewe elewa kwamba niko exposed na ninakaa sehemu nzuri zaidi hapa kwenye nchi na eneo nililopo

Nina doubt sana kwenye hili.
 
kama hujawah kwenda kwenye mahotel makubwa makubwa au Migahawa ya Osterbay na Masaki unaweza ukawaza kama unavyowaza.

Ila Foreigners ni weng pande zile na wanapendelea sana Kahawa.

Kamgahawa kadogo tu utakuta kikombe kidogo kile cha Espresso kinauzwa 3,000/-
Hizi Caffe late, cappucino etc ni kuanzia 5,000/- na kuendelea .
Na wateja wako wakutosha.

Ila ukiwa uko namtumbo ndan ndan au huku niliko mm , nanjilinji , huwez ukaona au kujua haya.😊😊😊😊
Sio kamgahawa kadogo unakuta jamaa ameweka machine kwenye guta tu masaki na anauza coffee 3000 kwa 5000
 
Hebu rudia kusoma tena reply yako ya kwanza.😊😊😊😊

Hapa sio.
Na mm ndio nikakuambia kuwa

Kupenda Kahawa sio uduwanzi.

Na nikakuonyesha jinsi gan inathaminiwa na inavyouzwa.
Na ni sehem gan haswa inauzwa na wanauziwa wakina nani.

Nina doubt sana kwenye hili.
Inaonekana haujatingisha vizuri kichwa chako kabla ya kukitumia, materia yanayotoka yako diluted sana
 
Sio kamgahawa kadogo unakuta jamaa ameweka machine kwenye guta tu masaki na anauza coffee 3000 kwa 5000
Alaf mtu anaita wanaokunywa ni waduwanzi 😂😂😂😂.

Kuna Coffee moja kutoka Italy inaitwa Lavazza. Wana mashine zao kabisa.
Ile Capsule moja tu ya Lavazza wanauza ni 8k. (Pale Cape town Fish Market)
Hapo ni espresso. Bado hajaweka maziwa.

Na wateja wako wa kutosha.

Ukikuta Barista anajua pia kutengeneza fresh Juice analipwa had 800k kwa mwezi.
Na kaz ni hiyo hiyo tu ya Barista.

Alaf MIXOLOGIST ww ni by proffesional au ni jina tu?
 
Alaf mtu anaita wanaokunywa ni waduwanzi 😂😂😂😂.

Kuna Coffee moja kutoka Italy inaitwa Lavazza. Wana mashine zao kabisa.
Ile Capsule moja tu wakiweka ni 6k.
Hapo ni espresso. Bado hajaweka mazima.

Na wateja wako wa kutosha.

Ukikuta Barista anajua pia kutengeneza fresh Juice analipwa had 800k kwa mwezi.
Na kaz ni hiyo hiyo tu ya Barista.

Alaf MIXOLOGIST ww ni by proffesional au ni jina tu?
Mixologist by name
 
Okay.

Nikajua ndio kazi zako.
Na tena ulivyotetea Vinywaj vikali nikaona ooooh jamaa hatak watu wanywe kahawa . Anataka wateja zaid kwenye Vileo vyake anavyochanganya kuwauzia watu 😊😊😊😊😊.

Anyway, sorry kama in any way nimekuoffend. My apology.
Ha ha ha mambo ya JF vumilia
 
kama hujawah kwenda kwenye mahotel makubwa makubwa au Migahawa ya Osterbay na Masaki unaweza ukawaza kama unavyowaza.

Ila Foreigners ni weng pande zile na wanapendelea sana Kahawa.

Kamgahawa kadogo tu utakuta kikombe kidogo kile cha Espresso kinauzwa 3,000/-
Hizi Caffe late, cappucino etc ni kuanzia 5,000/- na kuendelea .
Na wateja wako wakutosha.

Ila ukiwa uko namtumbo ndan ndan au huku niliko mm , nanjilinji , huwez ukaona au kujua haya.😊😊😊😊
Hiyo kahawa inatofauti gani na ya huku kijiweni inayouzwa shilingi 100?
 
Kuna utofaut mkubwa sana.
Kahawa ni Taste na Aroma.

Hii ya 100 tsh haina quality nzuri, chenga kubwa na haiyeyuk vizur kwa maji,
haina taste na Aroma kama inavyotakiwa kahawa iwe.

hao wa 100tsh wanaweza kununua coffee beans alaf wakatwanga wenyewe. Wakat kuna mashine za kusaga kahawa.

mfano tu Africafe. Kahawa yao kwa 100g Wanauza 15k+.
250g (robo kilo) ni 30k.
Na hii ndio standard hata watu wa kati wanatumia.

Sasa hizo nyingne ziko Classic na wazungu ndio wanazitaka sana.
 
Zile ni lugha tu za kibiashara za kushawishi wanunuzi.
 
Back
Top Bottom