Quality oriented
Member
- Dec 22, 2019
- 18
- 11
Mimi sielewagi watu wanaokunywa vinywaji vya kiduwanzi kama hivyo.
Kwanza, havileweshi alafu vikombe vyao ni vya kichoyo-kichoyo. Pili, vinajaza inzi na mwisho havina swagger
Ngoja nifungue Balimi zangu za baridi alafu nione jinsi comment yangu itakavyotolewa mapovu ya reja reja
Safi sanaMimi sielewagi watu wanaokunywa vinywaji vya kiduwanzi kama hivyo.
Kwanza, havileweshi alafu vikombe vyao ni vya kichoyo-kichoyo. Pili, vinajaza inzi na mwisho havina swagger
Ngoja nifungue Balimi zangu za baridi alafu nione jinsi comment yangu itakavyotolewa mapovu ya reja reja
Jiwe moja wanywa kahawa wanapiga chafya πMimi sielewagi watu wanaokunywa vinywaji vya kiduwanzi kama hivyo.
Kwanza, havileweshi alafu vikombe vyao ni vya kichoyo-kichoyo. Pili, vinajaza inzi na mwisho havina swagger
Ngoja nifungue Balimi zangu za baridi alafu nione jinsi comment yangu itakavyotolewa mapovu ya reja reja
Mkuu, sijasema chochote kuhusu bei au eneo nilipo.kama hujawah kwenda kwenye mahotel makubwa makubwa au Migahawa ya Osterbay na Masaki unaweza ukawaza kama unavyowaza.
Ila Foreigners ni weng pande zile na wanapendelea sana Kahawa.
Kamgahawa kadogo tu utakuta kikombe kidogo kile cha Espresso kinauzwa 3,000/-
Hizi Caffe late, cappucino etc ni kuanzia 5,000/- na kuendelea .
Na wateja wako wakutosha.
Ila ukiwa uko namtumbo ndan ndan au huku niliko mm , nanjilinji , huwez ukaona au kujua haya.ππππ
Hebu rudia kusoma tena reply yako ya kwanza.ππππMkuu, sijasema chochote kuhusu bei au eneo nilipo.
Wewe elewa kwamba niko exposed na ninakaa sehemu nzuri zaidi hapa kwenye nchi na eneo nililopo
Hapa sio.Mimi sielewagi watu wanaokunywa vinywaji vya kiduwanzi kama hivyo.
Kupenda Kahawa sio uduwanzi.kama hujawah kwenda kwenye mahotel makubwa makubwa au Migahawa ya Osterbay na Masaki unaweza ukawaza kama unavyowaza.
Ila Foreigners ni weng pande zile na wanapendelea sana Kahawa.
Wewe elewa kwamba niko exposed na ninakaa sehemu nzuri zaidi hapa kwenye nchi na eneo nililopo
Sio kamgahawa kadogo unakuta jamaa ameweka machine kwenye guta tu masaki na anauza coffee 3000 kwa 5000kama hujawah kwenda kwenye mahotel makubwa makubwa au Migahawa ya Osterbay na Masaki unaweza ukawaza kama unavyowaza.
Ila Foreigners ni weng pande zile na wanapendelea sana Kahawa.
Kamgahawa kadogo tu utakuta kikombe kidogo kile cha Espresso kinauzwa 3,000/-
Hizi Caffe late, cappucino etc ni kuanzia 5,000/- na kuendelea .
Na wateja wako wakutosha.
Ila ukiwa uko namtumbo ndan ndan au huku niliko mm , nanjilinji , huwez ukaona au kujua haya.ππππ
Inaonekana haujatingisha vizuri kichwa chako kabla ya kukitumia, materia yanayotoka yako diluted sanaHebu rudia kusoma tena reply yako ya kwanza.ππππ
Hapa sio.
Na mm ndio nikakuambia kuwa
Kupenda Kahawa sio uduwanzi.
Na nikakuonyesha jinsi gan inathaminiwa na inavyouzwa.
Na ni sehem gan haswa inauzwa na wanauziwa wakina nani.
Nina doubt sana kwenye hili.
Alaf mtu anaita wanaokunywa ni waduwanzi ππππ.Sio kamgahawa kadogo unakuta jamaa ameweka machine kwenye guta tu masaki na anauza coffee 3000 kwa 5000
Mixologist by nameAlaf mtu anaita wanaokunywa ni waduwanzi ππππ.
Kuna Coffee moja kutoka Italy inaitwa Lavazza. Wana mashine zao kabisa.
Ile Capsule moja tu wakiweka ni 6k.
Hapo ni espresso. Bado hajaweka mazima.
Na wateja wako wa kutosha.
Ukikuta Barista anajua pia kutengeneza fresh Juice analipwa had 800k kwa mwezi.
Na kaz ni hiyo hiyo tu ya Barista.
Alaf MIXOLOGIST ww ni by proffesional au ni jina tu?
Okay.Mixologist by name
Unaketa kiu tu bwasheeSafi sana
Ha ha ha mambo ya JF vumiliaOkay.
Nikajua ndio kazi zako.
Na tena ulivyotetea Vinywaj vikali nikaona ooooh jamaa hatak watu wanywe kahawa . Anataka wateja zaid kwenye Vileo vyake anavyochanganya kuwauzia watu πππππ.
Anyway, sorry kama in any way nimekuoffend. My apology.
Hiyo kahawa inatofauti gani na ya huku kijiweni inayouzwa shilingi 100?kama hujawah kwenda kwenye mahotel makubwa makubwa au Migahawa ya Osterbay na Masaki unaweza ukawaza kama unavyowaza.
Ila Foreigners ni weng pande zile na wanapendelea sana Kahawa.
Kamgahawa kadogo tu utakuta kikombe kidogo kile cha Espresso kinauzwa 3,000/-
Hizi Caffe late, cappucino etc ni kuanzia 5,000/- na kuendelea .
Na wateja wako wakutosha.
Ila ukiwa uko namtumbo ndan ndan au huku niliko mm , nanjilinji , huwez ukaona au kujua haya.ππππ
Kuna utofaut mkubwa sana.Hiyo kahawa inatofauti gani na ya huku kijiweni inayouzwa shilingi 100?
Zile ni lugha tu za kibiashara za kushawishi wanunuzi.Kuna utofaut mkubwa sana.
Kahawa ni Taste na Aroma.
Hii ya 100 tsh haina quality nzuri, chenga kubwa na haiyeyuk vizur kwa maji,
haina taste na Aroma kama inavyotakiwa kahawa iwe.
hao wa 100tsh wanaweza kununua coffee beans alaf wakatwanga wenyewe. Wakat kuna mashine za kusaga kahawa.
mfano tu Africafe. Kahawa yao kwa 100g Wanauza 15k+.
250g (robo kilo) ni 30k.
Na hii ndio standard hata watu wa kati wanatumia.
Sasa hizo nyingne ziko Classic na wazungu ndio wanazitaka sana.
Nina jua ninachoongelea.Zile ni lugha tu za kibiashara za kushawishi wanunuzi.