Acha ujinga watafutwe EFTA wasiliana na ukimaliza nenda tata kachukue tata mpya ya 100m kwa downpayment ya 20m .Habari,
Tunatafuta mtu au kampuni inayoweza kutupatia school bus kwa mpango wa malipo ya awali (down payment) na kisha kumalizia kulipia kwa awamu. Shule ipo Tabora na basi litakuwa kwa matumizi ya kusafirisha wanafunzi.
Kama una au unajua kampuni/mtu anayeweza kutoa huduma hii, tafadhali wasiliana nami moja kwa moja kupitia
Call 0763287865/
Asanteni kwa msaada wenu.
Nakazia, wazo zuri kabisa hiliπAcha ujinga watafutwe EFTA wasiliana na ukimaliza nenda tata kachukue tata mpya ya 100m kwa downpayment ya 20m .