Mr_Plan
Senior Member
- Oct 2, 2021
- 140
- 194
Habari Wana JF,hivi karibuni Tumefungua Online Media ambayo bado ni changa...inayojihusisha na mambo ya Burudani hivo Tunaitaji Kijana anayeweza kuendesha Akaunti zetu za Online kama
1.Youtube
2.Website
3.Instagram page
4.facebook page
Pia Ajue program za Editing angalau kidog...Tutafanya kazi kama Team kwa pamoja kwa kushirikiana...Kuusu Malipo Tutabageni kwakuwa Kampuni ndo inaanza.