Nina rafiki yangu ni IT Engineer, yupo vizuri sema bahati mbaya contract yake imeisha, naomba m consider , anaitwa Neema , namba yake ya simu ni 0757527672. Atakutumia CV yakeHabari Wana JF,hivi karibuni Tumefungua Online Media ambayo bado ni changa...inayojihusisha na mambo ya Burudani hivo Tunaitaji Kijana anayeweza kuendesha Akaunti zetu za Online kama
1.Youtube
2.Website
3.Instagram page
4.facebook page
Pia Ajue program za Editing angalau kidog...Tutafanya kazi kama Team kwa pamoja kwa kushirikiana...Kuusu Malipo Tutabageni kwakuwa Kampuni ndo inaanza.
SawaNina rafiki yangu ni IT Engineer bado anatafuta kazi , i am sure ata
Nina rafiki yangu ni IT Engineer, yupo vizuri sema bahati mbaya contract yake imeisha, naomba m consider , anaitwa Neema , namba yake ya simu ni 0757527672. Atakutumia CV yake