Tunatafuta Mfanyakazi Wakike kwenye duka letu la kuuza laptop

Tunatafuta Mfanyakazi Wakike kwenye duka letu la kuuza laptop

wikel

New Member
Joined
Jul 25, 2016
Posts
3
Reaction score
4
Tunatafuta msichana/mwanamke wa kutusaidia kazi za ofisini katika duka linalojihusisha na uuzaji na matengenezo ya laptop.

📍 Eneo la kazi: Kariakoo, Dar es Salaam
💰 Mshahara: Kuanzia TSh 300,000

Jinsi ya kuomba:
Tuma CV pamoja na picha zako kupitia WhatsApp kwa namba:

📱 0765 171 270

Karibu kuomba nafasi hii.
 
tushapata tunashukuru
 
Back
Top Bottom