Tunatafuta msichana/mwanamke wa kutusaidia kazi za ofisini katika duka linalojihusisha na uuzaji na matengenezo ya laptop.
π Eneo la kazi: Kariakoo, Dar es Salaam
π° Mshahara: Kuanzia TSh 300,000
Jinsi ya kuomba:
Tuma CV pamoja na picha zako kupitia WhatsApp kwa namba:
π± 0765 171 270
Karibu kuomba nafasi hii.