Tunatafuta Msusi mwenye uzoefu kujiunga na timu yetu ya saluni iliyopo Moshi Mjini, Mbuyuni

Tunatafuta Msusi mwenye uzoefu kujiunga na timu yetu ya saluni iliyopo Moshi Mjini, Mbuyuni

DanbyHR

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Posts
286
Reaction score
395
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI – MSUSI

Mahali: Moshi Mjini – Mbuyuni

Tunatafuta Msusi mwenye uzoefu kujiunga na timu yetu ya saluni iliyopo Moshi Mjini, Mbuyuni.

Sifa zinazohitajika:
✅ Uwe na uzoefu wa kusuka mitindo mbalimbali ya nywele (braids, twisting, lines, crochet, dreadlocks n.k)
✅ Umakini na usafi kazini
✅ Uwe na nidhamu, heshima kwa wateja, na uwezo wa kufanya kazi kwa kushirikiana na wengine
✅ Uwe tayari kuanza kazi mara moja

Tunatoa mazingira mazuri ya kazi na nafasi ya kukuza kipato chako.

Ikiwa una vigezo, tafadhali wasiliana nasi kwa simu/WhatsApp:
📞 0764261251
 
Back
Top Bottom