Tunatafuta mtoto (ujauzito)

Tunatafuta mtoto (ujauzito)

hapana mi nataka unisaidie kuniambia cha kufanya
Chakufanya ni mapenzi tu hakuna njia mbadala...ila kama hujafunga ndoa na huyo mwenzio basi ujue hampati watoto kwa kuwa mnafanya matusi badala ya tendo la ndoa ambalo hufanywa na wanandoa!
 
Kunawakati mwingine humu ndani panaletwa mada za kusikitisha, kuchangamsha, kuhuzunisha na kufurahisha.
Mkuu, kwakuwa mimi sina cha kukushairi basi naomba tu nikupongeze kwa kumiliki dem
Mkuu embu muulize huyo bwana demu wake ni namba D ama ni A.
 
Sasa si akapime aone kama ni mgumba?
Nina mpenzi wangu anahamu ya mtoto sio masihara na bahati nzuri au mbaya kakutana na mimi mpenda watoto

ila bahati yetu sijui mbaya au nzuri tunakwichi kwichi ovyo hadi danger days ila hamna mtu kushika mimba

imefikia wakati hadi huyu mpenzi wangu ananiambia (yeye ni mgumba sjui) nikamwambia hapana hauwezi kuwa mgumba bwana

Anasema yeye ni mgumba kwa sababu ananijua mimi ni (single Father) nina watoto wawili huko nnje

So ana uhakika kabisa tatizo atakua nalo yeye na sio mimi,sasa Mimi namtia moyo sana na saivi tushafanya kama mchezo ku kwichi kwich

Sehemu yeyote mahali popote siku yyte sisi twendreeeeee.

SWALI:

Kuna njia gani rahisi itakayotusaidia kupata mtoto kwa haraka zaidi au kama ni kukwich kwich tupendeleee kutumia muda gani mzuri?

Tunapomaliza kukwichi kwichi huwa lazima tukaoge na tunapooga lazima huyu mpezni wangu ajisafishe vzuri na akojoe

Naskia wanasema mwanamke akimaliza kufanya mapenzi akienda kukojoa anaflash sperm zote so anakua uwezekano wa yeye kushka mimba unakua 0.9%

Nini tufanye

Nini tusifanye

Naombeni ushauri wenu kwa kina maana nipo zangu hapa nakunywa supu ya PWEZA muda wote nipo tayari kwa mashambulizi.
 
Chakufanya ni mapenzi tu hakuna njia mbadala...ila kama hujafunga ndoa na huyo mwenzio basi ujue hampati watoto kwa kuwa mnafanya matusi badala ya tendo la ndoa ambalo hufanywa na wanandoa!
usintishe mkuuuu

hata siogopi,matusi yalianza kufanywa tangu enzi za NUHU
 
Magonjwa ya zinaa yameharibu via vya uzazi. Wahi kwenye kituo kilichopo karibu yako ili muangalie kama kuna uwezekano wa kutatua tatizo hilo!
 
Oaneni kwanza, naye Mungu ataweka mkono wake! Hakika baraka ya watoto itawajilia!
 
Wenzako huwa tukimwaga tunatulia kwanza, sasa ukimwaga halafu ukatoa mbegu zinamwagika, na ukitoa inatakiwa abane mapaja ili zisitoke nje
 
Back
Top Bottom