Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,775
Mimi binafsi nachoweza kukusaidia ni kumpatia ujauzito huyo mpenzi wako..basi! Napatikana Pataya Gest House Ubungo River Side!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana mi nataka unisaidie kuniambia cha kufanyaMimi binafsi nachoweza kukusaidia ni kumpatia ujauzito huyo mpenzi wako..basi! Napatikana Pataya Gest House Ubungo River Side!
Chakufanya ni mapenzi tu hakuna njia mbadala...ila kama hujafunga ndoa na huyo mwenzio basi ujue hampati watoto kwa kuwa mnafanya matusi badala ya tendo la ndoa ambalo hufanywa na wanandoa!hapana mi nataka unisaidie kuniambia cha kufanya
Mkuu embu muulize huyo bwana demu wake ni namba D ama ni A.Kunawakati mwingine humu ndani panaletwa mada za kusikitisha, kuchangamsha, kuhuzunisha na kufurahisha.
Mkuu, kwakuwa mimi sina cha kukushairi basi naomba tu nikupongeze kwa kumiliki dem
Nina mpenzi wangu anahamu ya mtoto sio masihara na bahati nzuri au mbaya kakutana na mimi mpenda watoto
ila bahati yetu sijui mbaya au nzuri tunakwichi kwichi ovyo hadi danger days ila hamna mtu kushika mimba
imefikia wakati hadi huyu mpenzi wangu ananiambia (yeye ni mgumba sjui) nikamwambia hapana hauwezi kuwa mgumba bwana
Anasema yeye ni mgumba kwa sababu ananijua mimi ni (single Father) nina watoto wawili huko nnje
So ana uhakika kabisa tatizo atakua nalo yeye na sio mimi,sasa Mimi namtia moyo sana na saivi tushafanya kama mchezo ku kwichi kwich
Sehemu yeyote mahali popote siku yyte sisi twendreeeeee.
SWALI:
Kuna njia gani rahisi itakayotusaidia kupata mtoto kwa haraka zaidi au kama ni kukwich kwich tupendeleee kutumia muda gani mzuri?
Tunapomaliza kukwichi kwichi huwa lazima tukaoge na tunapooga lazima huyu mpezni wangu ajisafishe vzuri na akojoe
Naskia wanasema mwanamke akimaliza kufanya mapenzi akienda kukojoa anaflash sperm zote so anakua uwezekano wa yeye kushka mimba unakua 0.9%
Nini tufanye
Nini tusifanye
Naombeni ushauri wenu kwa kina maana nipo zangu hapa nakunywa supu ya PWEZA muda wote nipo tayari kwa mashambulizi.
usintishe mkuuuuChakufanya ni mapenzi tu hakuna njia mbadala...ila kama hujafunga ndoa na huyo mwenzio basi ujue hampati watoto kwa kuwa mnafanya matusi badala ya tendo la ndoa ambalo hufanywa na wanandoa!
ha ha ha hawajuzi wa kutotolesha(ma incubaort) kujeni hukuu,
umewaitaje eti?wajuzi wa kutotolesha(ma incubaort) kujeni hukuu,
ngoja nijaribu na kipindi hiki cha mvua tuone kama itaaacha kunasaSasa si akapime aone kama ni mgumba?
ni DP mkuuuuMkuu embu muulize huyo bwana demu wake ni namba D ama ni A.
Mmh!!! sio kweliWenzako huwa tukimwaga tunatulia kwanza, sasa ukimwaga halafu ukatoa mbegu zinamwagika, na ukitoa inatakiwa abane mapaja ili zisitoke nje
Sasa wewe kama unabisha mwagia kwenye mchanga uone kama utapata mtotoMmh!!! sio kweli
sawa mkuuuMagonjwa ya zinaa yameharibu via vya uzazi. Wahi kwenye kituo kilichopo karibu yako ili muangalie kama kuna uwezekano wa kutatua tatizo hilo!
Ingekuwa ni lazima ufanye hivi ndio mimba iingie watu wasingekuwa wanapata mimba zisizotarajiwaWenzako huwa tukimwaga tunatulia kwanza, sasa ukimwaga halafu ukatoa mbegu zinamwagika, na ukitoa inatakiwa abane mapaja ili zisitoke nje
asanteeeOaneni kwanza, naye Mungu ataweka mkono wake! Hakika baraka ya watoto itawajilia!