Tunatafuta mtoto (ujauzito)

hapana mi nataka unisaidie kuniambia cha kufanya
Chakufanya ni mapenzi tu hakuna njia mbadala...ila kama hujafunga ndoa na huyo mwenzio basi ujue hampati watoto kwa kuwa mnafanya matusi badala ya tendo la ndoa ambalo hufanywa na wanandoa!
 
Kunawakati mwingine humu ndani panaletwa mada za kusikitisha, kuchangamsha, kuhuzunisha na kufurahisha.
Mkuu, kwakuwa mimi sina cha kukushairi basi naomba tu nikupongeze kwa kumiliki dem
Mkuu embu muulize huyo bwana demu wake ni namba D ama ni A.
 
Sasa si akapime aone kama ni mgumba?
 
Chakufanya ni mapenzi tu hakuna njia mbadala...ila kama hujafunga ndoa na huyo mwenzio basi ujue hampati watoto kwa kuwa mnafanya matusi badala ya tendo la ndoa ambalo hufanywa na wanandoa!
usintishe mkuuuu

hata siogopi,matusi yalianza kufanywa tangu enzi za NUHU
 
Magonjwa ya zinaa yameharibu via vya uzazi. Wahi kwenye kituo kilichopo karibu yako ili muangalie kama kuna uwezekano wa kutatua tatizo hilo!
 
Oaneni kwanza, naye Mungu ataweka mkono wake! Hakika baraka ya watoto itawajilia!
 
Wenzako huwa tukimwaga tunatulia kwanza, sasa ukimwaga halafu ukatoa mbegu zinamwagika, na ukitoa inatakiwa abane mapaja ili zisitoke nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…