Tunatafuta muwezeshaji kwenye kazi yetu ya uchimbaji wa madini ya dhahabu

Jifunafu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2020
Posts
201
Reaction score
746
Wakuu salaam,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,sisi ni wachimbaji wadogo tunaopatika hapa kata ya runzewe Kijiji cha burumbaga mkoa wa Geita.

Tulianza kazi hii ya utafiti tukiwa watu wanne na hadi sasa tumefika watu nane,katika kuanza tulianza tukiwa na mtaji kidogo sana wa kuendesha kazi na pia hatukuwa na vifaa vya kuchimba kama vile Jake hama, generator na pump ya kuvuta maji,lakini kadri kazi ilivyokuwa unaendelea ndipo umuhimu wa vifaa ulihitajika.Tulipata muwezeshaji akatoa vifaa vya uchimbaji ikiwemo blower, generator, pump na Jake hama na kazi ikaendelea.Duara kwa sasa ina mizamo 6 na katika urefu wote huo tumeshafunga box zote kwa wachimbaji tunaita (matimba).

Hatua tuliyo fikia ni hatua kuelekea kwenye mwamba kwa maana kwamba Kuna michirizi mingi zinazo hashiria kuelekea kwenye mwamba mkubwa na tayari Kuna sample ndogo ndogo za mawe zinazo onyesha uwepo wa dhahabu.

Changamoto inayotukabili hadi kutafuta mtu wa kuongea rasilimali fedha ni kwamba,tumefika hatua ambayo duara inahitaji fedha kwa maana kununua mafuta ya kutosha na gharama ndogo ndogo za hapa na pale kwa ajiri ya kuendesha kazi.
Duara haiitaji ulipuaji maana aridhi yake bado sio ngumu sana kuitaji kulipua pia kuhusu gharama za miti kwa ajiri ya kununua miti hatununui kwa sababu tuna eneo letu la shamba tunalotoa miti kwa ajiri ya kufunga box.gharama iliopo ni posho ya fundi tu.

Ndugu wadau kwa yeyote alie tayari kushirikiana na sisi tuna mkaribisha aje kwa maana kwamba atakuwa sehemu ya mwanachama na kupewa hisa zake kulingana na atakacho kiwekeza,hata kama unakiasi kidogo cha fedha tunakukaribisha uje tuweke nguvu pamoja kwani kazi ya uchimbaji ni kushirikiana na kuweka nguvu pamoja mwisho wa siku tunafikia mafanikio.

Kwa atakae kuwa tayari njoo In box tutawasiliana na ukiweza utakuja site na uone kazi inavyo endelea,kwa yeyote alie na swali karibu na nitajibu swali lako.
Dhahabu ni maisha na utajiri.Karibuni tuwekeze pamoja, Asante kunisikiliza.
IMG_20260626_104147_357.jpg
 
Duara haiitaji ulipuaji maana aridhi yake bado sio ngumu sana kuitaji kulipua pia kuhusu gharama za miti kwa ajiri ya kununua miti hatununui
kwa sababu tuna eneo letu la shamba tunalotoa miti kwa ajiri ya kufunga box.gharama iliopo ni posho ya fundi tu.
Ndugu wadau kwa yeyote alie tayari kushirikiana na sisi tuna mkaribisha aje kwa maana kwamba atakuwa sehemu ya mwanachama na kupewa hisa zake kulingana na atakacho kiwekeza,hata kama unakiasi kidogo cha fedha tunakukaribisha uje tuweke nguvu pamoja kwani kazi ya uchimbaji ni kushirikiana na kuweka nguvu pamoja mwisho wa siku tunafikia mafanikio.
Kwa atakae kuwa tayari njoo In box tutawasiliana na ukiweza utakuja site na uone kazi inavyo endelea,kwa yeyote alie na swali karibu na nitajibu swali lako.
Dhahabu ni maisha na utajiri.Karibuni tuwekeze pamoja, Asante kunisikiliza.View attachment 3623850
Mnahitaji kias gani?
Na atakaetoa hicho kiwango atakua na hisa au mgawo wa % ngapi kwenye mapato?
 
Wakuu salaam,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,sisi ni wachimbaji wadogo tunaopatika hapa kata ya runzewe Kijiji cha burumbaga mkoa wa Geita.

Tulianza kazi hii ya utafiti tukiwa watu wanne na hadi sasa tumefika watu nane,katika kuanza tulianza tukiwa na mtaji kidogo sana wa kuendesha kazi na pia hatukuwa na vifaa vya kuchimba kama vile Jake hama, generator na pump ya kuvuta maji,lakini kadri kazi ilivyokuwa unaendelea ndipo umuhimu wa vifaa ulihitajika.Tulipata muwezeshaji akatoa vifaa vya uchimbaji ikiwemo blower, generator, pump na Jake hama na kazi ikaendelea.Duara kwa sasa ina mizamo 6 na katika urefu wote huo tumeshafunga box zote kwa wachimbaji tunaita (matimba).

Hatua tuliyo fikia ni hatua kuelekea kwenye mwamba kwa maana kwamba Kuna michirizi mingi zinazo hashiria kuelekea kwenye mwamba mkubwa na tayari Kuna sample ndogo ndogo za mawe zinazo onyesha uwepo wa dhahabu.

Changamoto inayotukabili hadi kutafuta mtu wa kuongea rasilimali fedha ni kwamba,tumefika hatua ambayo duara inahitaji fedha kwa maana kununua mafuta ya kutosha na gharama ndogo ndogo za hapa na pale kwa ajiri ya kuendesha kazi.
Duara haiitaji ulipuaji maana aridhi yake bado sio ngumu sana kuitaji kulipua pia kuhusu gharama za miti kwa ajiri ya kununua miti hatununui kwa sababu tuna eneo letu la shamba tunalotoa miti kwa ajiri ya kufunga box.gharama iliopo ni posho ya fundi tu.

Ndugu wadau kwa yeyote alie tayari kushirikiana na sisi tuna mkaribisha aje kwa maana kwamba atakuwa sehemu ya mwanachama na kupewa hisa zake kulingana na atakacho kiwekeza,hata kama unakiasi kidogo cha fedha tunakukaribisha uje tuweke nguvu pamoja kwani kazi ya uchimbaji ni kushirikiana na kuweka nguvu pamoja mwisho wa siku tunafikia mafanikio.

Kwa atakae kuwa tayari njoo In box tutawasiliana na ukiweza utakuja site na uone kazi inavyo endelea,kwa yeyote alie na swali karibu na nitajibu swali lako.
Dhahabu ni maisha na utajiri.Karibuni tuwekeze pamoja, Asante kunisikiliza.View attachment 3623850
  1. Leseni ya uchimbaji ipo kwa jina la nani na iko halali hadi lini
  2. Mgawanyo wa faida (hisa) ukoje kwa maandishi, sio maneno tu?
  3. Taarifa za sample za dhahabu zimepimwa wapi na matokeo rasmi yako?
  4. Gharama halisi za kila mwezi ni kiasi gani na nani anasimamia matumizi?
  5. Utaratibu wa investor kutoka (exit) au kurejeshewa mtaji ukoje
 
Tatizo lenu wachimbaji hujikuta wajuaji na kuleta ukorofi pindi duara linapo tua.
Maneno yenu ya kejeli kumdharau muwezeshaji eti anachimbia juu wakati yeye ndo kawezesha hadi mkafikia uzalishaji.

Halafu kingine mnakuwa watata sana kuhusu hela ya muwezeshaji inarudi vipi pindi duara linapoanza uzalishaji. Hapa huwa mnajitoa ufahamu mixer kujiless ili tu muwezeshaji akate tamaa.

Hujaelezea hapo mnapochimba ni claim ya mtu au ni chimbo jipya ambalo halijakatiwa leseni?
Na kama chimbo lipo chini ya leseni ya mtu je, anatambua uwezeshaji na muwezeshaji?

Kingine hujaelezea uwiano wa share make naona umekazia tu kwenye "imebaki sehemu ndogo ya umaliziaji kabla duara halijatua" utafikiri umeagana na hayo madini kwamba baada ya mizamo miwili tayari mnafungua njia!

Wachimbaji wadogo huwa mnafail hapo tu. Mnamkaribisha mtu kwa kumswich badala ya kumwambia ukweli kwamba aweke pesa yake ila akae akijua kwamba kuna pata potea ili apime mzani mwenyewe.

Njoo ujibu hapo kwanza tuone umejipangaje.
 
Jifunafu Hapo mlipofika mmepiga chabo? nyunga zipo? halafu blower ya kazi gani duara la mizamo 6, kingine ukiachana na issues za kamchirizi, mnaandikishana wapi na huyo muwekezaji? na zaidi mkianza kukomanga huko chini yeye atajuaje? kisha pump ya nini mizamo 6 maji tayari? au ametoa incase? yaani kiufupi hivyo vifaa ulivyotaja ni vya nini? generator na wenzie.
 
Mnahitaji kias gani?
Na atakaetoa hicho kiwango atakua na hisa au mgawo wa % ngapi kwenye mapato?
Hayo ni makubaliano endapo tutakaa meza Moja na kukubaliana mkuu.Hatuwezi kushindana maana tunachokitaka ni kufanikisha kazi.
 
Wakuu salaam,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,sisi ni wachimbaji wadogo tunaopatika hapa kata ya runzewe Kijiji cha burumbaga mkoa wa Geita.

Tulianza kazi hii ya utafiti tukiwa watu wanne na hadi sasa tumefika watu nane,katika kuanza tulianza tukiwa na mtaji kidogo sana wa kuendesha kazi na pia hatukuwa na vifaa vya kuchimba kama vile Jake hama, generator na pump ya kuvuta maji,lakini kadri kazi ilivyokuwa unaendelea ndipo umuhimu wa vifaa ulihitajika.Tulipata muwezeshaji akatoa vifaa vya uchimbaji ikiwemo blower, generator, pump na Jake hama na kazi ikaendelea.Duara kwa sasa ina mizamo 6 na katika urefu wote huo tumeshafunga box zote kwa wachimbaji tunaita (matimba).

Hatua tuliyo fikia ni hatua kuelekea kwenye mwamba kwa maana kwamba Kuna michirizi mingi zinazo hashiria kuelekea kwenye mwamba mkubwa na tayari Kuna sample ndogo ndogo za mawe zinazo onyesha uwepo wa dhahabu.

Changamoto inayotukabili hadi kutafuta mtu wa kuongea rasilimali fedha ni kwamba,tumefika hatua ambayo duara inahitaji fedha kwa maana kununua mafuta ya kutosha na gharama ndogo ndogo za hapa na pale kwa ajiri ya kuendesha kazi.
Duara haiitaji ulipuaji maana aridhi yake bado sio ngumu sana kuitaji kulipua pia kuhusu gharama za miti kwa ajiri ya kununua miti hatununui kwa sababu tuna eneo letu la shamba tunalotoa miti kwa ajiri ya kufunga box.gharama iliopo ni posho ya fundi tu.

Ndugu wadau kwa yeyote alie tayari kushirikiana na sisi tuna mkaribisha aje kwa maana kwamba atakuwa sehemu ya mwanachama na kupewa hisa zake kulingana na atakacho kiwekeza,hata kama unakiasi kidogo cha fedha tunakukaribisha uje tuweke nguvu pamoja kwani kazi ya uchimbaji ni kushirikiana na kuweka nguvu pamoja mwisho wa siku tunafikia mafanikio.

Kwa atakae kuwa tayari njoo In box tutawasiliana na ukiweza utakuja site na uone kazi inavyo endelea,kwa yeyote alie na swali karibu na nitajibu swali lako.
Dhahabu ni maisha na utajiri.Karibuni tuwekeze pamoja, Asante kunisikiliza.View attachment 3623850
Nakuja PM
 
Asante kwa swali lako mkuu,katika uchimbaji kunapokuwa na vitendea kazi ni jambo zuri.Generator inaendesha pump, blower na Jake hama in case vinapo itajika hivyo kuwepo kwa vifaa hivyo sio jambo baya mkuu ni sehemu ya kuimalisha ofisi.Kingine kama wewe utakuja kuwekeza maana kwamba utakuwa unapanga muda kutembelea site na kuona maendeleo ya kazi. Pia umezungumzia kuhusu pump,pump inatumika ingawa maji sio mengi ila watendakazi wanapotaka kuingia ni lazima kuvuta maji kisha kazi inaendelea,maji sio mengi mkuu.
Jifunafu Hapo mlipofika mmepiga chabo? nyunga zipo? halafu blower ya kazi gani duara la mizamo 6, kingine ukiachana na issues za kamchirizi, mnaandikishana wapi na huyo muwekezaji? na zaidi mkianza kukomanga huko chini yeye atajuaje? kisha pump ya nini mizamo 6 maji tayari? au ametoa incase? yaani kiufupi hivyo vifaa ulivyotaja ni vya nini? generator na wenzie.
 
Mkuu asante kwa maswali Yako.
1.Leseni baada kufatilia tulibaini Ina mtu lakini hatujataka kumtafuta kwa maana kwamba Sisi ndio wenye shamba kwaiyo ikitokea duara imefika ni lazima atajitokeza na tutakaa meza Moja na kufanya kazi pamoja endapo hatakuwa mtu wa tamaa

  1. Leseni ya uchimbaji ipo kwa jina la nani na iko halali hadi lini
  2. Mgawanyo wa faida (hisa) ukoje kwa maandishi, sio maneno tu?
  3. Taarifa za sample za dhahabu zimepimwa wapi na matokeo rasmi yako?
  4. Gharama halisi za kila mwezi ni kiasi gani na nani anasimamia matumizi?
  5. Utaratibu wa investor kutoka (exit) au kurejeshewa mtaji ukoje

Nakuja PM
Karibu
 
2. Mgawanyo wa Hisa utakuwa kulingana na kile ulichowekeza mkuu,hivyo siwezi kusema Moja kwa moja kwamba utapata hisa ngapi,hayo ni makubaliano kati yetu sisi na wewe muwekezaji.Pia maandishi yatakuwepo ikitokea unataka hivyo.
3.Taarifa za sample zipo,ila siwezi kutoa Moja kwa Moja ni jambo la kufika site na kuona mwenyewe makaratasi.
4.Gharama halisi Zita ainishwa na kile unachoitaji kutoa maana ofisi lazima iwe na utaratibu WA uendeshaji,ikitokea utakuwa tunaitaji kuupata taarifa ya matumizi ni haki Yako kama muwekezaji utapewa na msimamizi ni sisi wenye aridhi.
5.Utaratibu wa investor kujitoa ni pale yeye atakapo ona either ameishiwa nguvu anaweza kutafuta mtu wake na akaendeleza kazi,kama atakoswa mtu basi uzalishaji ukifika atapigiwa gharama zake na kurejeshewa na faida,maana amefanikisha malengo ingawa alipungukiwa fedha.
 
  1. Leseni ya uchimbaji ipo kwa jina la nani na iko halali hadi lini
  2. Mgawanyo wa faida (hisa) ukoje kwa maandishi, sio maneno tu?
  3. Taarifa za sample za dhahabu zimepimwa wapi na matokeo rasmi yako?
  4. Gharama halisi za kila mwezi ni kiasi gani na nani anasimamia matumizi?
  5. Utaratibu wa investor kutoka (exit) au kurejeshewa mtaji ukoje
2. Mgawanyo wa Hisa utakuwa kulingana na kile ulichowekeza mkuu,hivyo siwezi kusema Moja kwa moja kwamba utapata hisa ngapi,hayo ni makubaliano kati yetu sisi na wewe muwekezaji.Pia maandishi yatakuwepo ikitokea unataka hivyo.
3.Taarifa za sample zipo,ila siwezi kutoa Moja kwa Moja ni jambo la kufika site na kuona mwenyewe makaratasi.
4.Gharama halisi Zita ainishwa na kile unachoitaji kutoa maana ofisi lazima iwe na utaratibu WA uendeshaji,ikitokea utakuwa tunaitaji kuupata taarifa ya matumizi ni haki Yako kama muwekezaji utapewa na msimamizi ni sisi wenye aridhi.
5.Utaratibu wa investor kujitoa ni pale yeye atakapo ona either ameishiwa nguvu anaweza kutafuta mtu wake na akaendeleza kazi,kama atakoswa mtu basi uzalishaji ukifika atapigiwa gharama zake na kurejeshewa na faida,maana amefanikisha malengo ingawa alipungukiwa fedha
 
Asante kwa swali lako mkuu,katika uchimbaji kunapokuwa na vitendea kazi ni jambo zuri.Generator inaendesha pump, blower na Jake hama in case vinapo itajika hivyo kuwepo kwa vifaa hivyo sio jambo baya mkuu ni sehemu ya kuimalisha ofisi.Kingine kama wewe utakuja kuwekeza maana kwamba utakuwa unapanga muda kutembelea site na kuona maendeleo ya kazi. Pia umezungumzia kuhusu pump,pump inatumika ingawa maji sio mengi ila watendakazi wanapotaka kuingia ni lazima kuvuta maji kisha kazi inaendelea,maji sio mengi mkuu.
Sawa mkuu.
 
Mimi mnisaidie apa vipi nikomae au nitafute kazi nyengine ya kufanya...
 
Attachments

  • IMG_20260707_212800.jpg
    IMG_20260707_212800.jpg
    227.7 KB · Views: 18
  • IMG_20260707_212755.jpg
    IMG_20260707_212755.jpg
    276.1 KB · Views: 17
  • IMG_20260707_184721.jpg
    IMG_20260707_184721.jpg
    1.5 MB · Views: 18
Back
Top Bottom