Tunatafuta nyumba ya kupanga kwa ajili ya Ofisi Dar es Salaam

Tunatafuta nyumba ya kupanga kwa ajili ya Ofisi Dar es Salaam

Mtafiti Madini

Senior Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
101
Reaction score
38
Wakuu, tunatafuta nyumba ya kupanga kwa ajili ya ofisi. Iwe angalau na vyumba vinne na kuendelea, iwe pembezoni mwa barabara kuu au karibu na barabara kuu, iwe nzuri na iwe na Parking. Inaweza kuwa maeneo ya manzese, magomeni, ubungo, buguruni tabata, ukonga au eneo lolote linalofikika kiurahisi.

Kama unajua ilipo, tuwasiliane
 
unataka kuifanyia biashara au ofis gan...isije ikawa ile biashara yetu alf ukamwingiza matatan mmiliki
 
Back
Top Bottom