Wakuu, tunatafuta nyumba ya kupanga kwa ajili ya ofisi. Iwe angalau na vyumba vinne na kuendelea, iwe pembezoni mwa barabara kuu au karibu na barabara kuu, iwe nzuri na iwe na Parking. Inaweza kuwa maeneo ya manzese, magomeni, ubungo, buguruni tabata, ukonga au eneo lolote linalofikika kiurahisi.
Kama unajua ilipo, tuwasiliane