Tunatafuta plastic toilet hut - choo za muda za plastic daressalaam

moghaka

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
252
Reaction score
143
Wakuu salama ! Tunatafuta choo ikiwa ndani ya chumba chake cha plastic, hutumika zaidi hasa kwenye dharura au matukio ya sherehe pasipo na vyoo vya kutosha, tafadhali kwa yeyote anayejua mahala pa kuzipata hizo choo za kununua ani - PM au anielekeze tu hapa.
 

Mkuu ni choo za muda kweli? Nafikiri hizi utazipata kwa wingi kule kwenu Kenya. Kuna kipindi hizi choo (hivi vyoo) zilikuwa (vilikuwa) maarufu sana pale Nairobi kabla hawajapiga dessa hapa kwetu!
 

Tanzania vyoo kama hivyo inawezekana havipo kabisa. Vinapatikana sana South Africa japokuwa ni vya kukaa siyo kuchuchumaa kama walivyozoea Watanzania. Tembelea hapa
Portable Toilet Manufacturers For All Your Mobile Toilet Needs | Atlas Plastics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…