Wakuu salama ! Tunatafuta choo ikiwa ndani ya chumba chake cha plastic, hutumika zaidi hasa kwenye dharura au matukio ya sherehe pasipo na vyoo vya kutosha, tafadhali kwa yeyote anayejua mahala pa kuzipata hizo choo za kununua ani - PM au anielekeze tu hapa.