Tunatafuta ubc aluminum scrap kwa usambazaji wa kuaminika kwa ajili ya usafirishaji kwenda Thailand

Tunatafuta ubc aluminum scrap kwa usambazaji wa kuaminika kwa ajili ya usafirishaji kwenda Thailand

Joined
Mar 23, 2023
Posts
93
Reaction score
108
Habari wana forums,

Nina mteja (company) kutoka UAE ambaye anatafuta reliable supply ya UBC aluminum scrap. Ikiwa una bidhaa hii au una taarifa za mtu/mashirika yanayoweza kuwa nayo, tafadhali tuwasiliane kwa mazungumzo zaidi.

Malipo ni cash, na bidhaa zitapelekwa nje kwenda Thailand.

Nakaribisha mazungumzo na yeyote aliye na uwezo wa kutimiza mahitaji haya au mwenye taarifa yoyote muhimu kuhusu upatikanaji wa bidhaa hii.

Ahsante,
Mrndumbaro
Wasiliana: Jina, Namba ya Simu,
255626201416.
IMG_20241217_201843.jpg



-
 
Back
Top Bottom