P paul m kibinza Member Joined Jun 19, 2017 Posts 30 Reaction score 18 Jul 7, 2022 #1 Tunatafuta watu wenye uzoefu katika kutengeneza beats, kucheza solo guitar na bass, tutafanya kazi katika studio yetu kubwa iliyoko Mbuyuni Salasala. Kama kuna mtu unamfahamu ni-PM au 0621 014 638
Tunatafuta watu wenye uzoefu katika kutengeneza beats, kucheza solo guitar na bass, tutafanya kazi katika studio yetu kubwa iliyoko Mbuyuni Salasala. Kama kuna mtu unamfahamu ni-PM au 0621 014 638
Njemba Soro. JF-Expert Member Joined Oct 5, 2013 Posts 3,732 Reaction score 6,561 Jul 7, 2022 #2 Tarumbeta hutaki?