Tunatafuta watu wanaoweza kutuletea matangazo ya biashara kwenye gazeti na website

chears

Member
Joined
Jun 10, 2014
Posts
21
Reaction score
1
Tunatafuta watu au ma agency wanaoweza kutuletea matangazo gazeti na website

upande wa Agency

kampuni itamlipa commision ya asilimia 25 kwa kila tangazo atalotuletea

wafanyakazi
wanaotaka kufanya na sisi wawe wameshawahi kufanya kwenye kampuni ya magazeti analeta matangazo
ya biashara au awe anafanya sasa kwenye kampuni ya gazet kuleta matangazooo

mshahara

atalipwa mshahara

atalipwa commision pia
 
t

More details pls,

Name of Magazine

Mawasiliano

na office zilipo.
 
Mko wapi?
Tangazo sh. Ngap?
Na je nikileta tangazo na hamjaniajiri si commission ipo?
 
nitumie no yako ya simu the unique na Emma lukosi tuongee zaidi
 
Back
Top Bottom