Tunataka jina halisi la makamu wa Rais mteule

Khanji kapoor

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2024
Posts
3,861
Reaction score
9,909
Duru zinasema hili sio jina lake halisi ni jina la kununua ili apate kusoma

Akiwa Dodoma anaitwa John, akirudi Pemba anaitwa Ali hamis Makame

kwann afiche majina yake?

Ikumbukwe hayati Rais Magufuli aliombwa na makamu wake wakati huo kumfikiria ktk uteuzi na kweli akateuliwa kuwa mkuu wa wilaya

usalama wa Taifa mpo?
 
Kumbe ni mzenj tunachezwa?
Weka historia yake kuanzia kuzaliwa mama na baba yake tujue ili tusifanyiwe matezo kama tusemavyo pwani.
 
Kwani wewe ndo mzazi wake acheni propaganda za uongo.
 
Duru zinasema hili sio jina lake halisi ni jina la kununua ili apate kusoma😂😂😂 kumekucha..! Kumekucha...!
 
Ni kawaida ya wanaccm kutumia vyeti bandia, yule alitutangazia na kutuonesha hati zake za uraia lakini uraia ukageuzwa nje ya mahakama! Na yule mwingine mtu wa Mkuranga naye nje ya mahakama akajigeuza uraia nje ya mahakama. Hii ndiyo raha ya kutokuwa na katiba inayotambulika, tumejenga nchi ya hovyo kama kikundi cha upatu sokoni.
 
Shaka Hamdu Shaka mkuu wa wilaya ya Kilosa,wana Ubini na huyu bwana?
 
Ngoja padri waje hapa maana amekulia kanisani pale dodoma....tutajua tu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…