Tunataka jina halisi la makamu wa Rais mteule

Tunataka jina halisi la makamu wa Rais mteule

Sio kweli. Halafu sijui nani kaja na hii propaganda. Mtu kakulia Dodoma tunamjua
As much as we don’t like these maCCM people, hili la Deo ni suala la kijinga, tena kwenye umri ndio ujinga zaidi. 39 like seriously?

Kwa kumuangalia tu he might be 42/43 .
 
Wewe unaye sema unamfahamu tangu mdogo ndiye unaye hoji kama mama yake ni mrangi,
Ulitaka niseme nini wewe? Wakati mwingine ni heri unyamaze, usiongee kwa vile una mdomo. Angalia nilichoandika halafu uongee jambo linaloendana na hayo niliyoandika.
 
Back
Top Bottom