Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
All in all, ukimtazama ana sura ya KIPEMBA hope kwenye family clan Kuna vinasaba hivyoNi wewe tu unayefanana na Mmatumbi. Watanganyika mpo very judgemental mno, kama mama yake ni mrangi? Acheni hizo, angalia historia ya mtu, muwe mnasikiliza wakubwa zenu waliozaliwa miaka ya 1970 na mwisho wa 1968, sijui mtaelezwaje muelewe ninyi wamatumbi. Hata akili kidogo hamna, inanifanya niamini kuwa watanzania ni waongo sana, hata kuna vitu sasa naamini mnasingizia watu, Huyo Mange nilikuwa namuona ana akili, lakini naona ni bumunda, eti anasema Ndejembi ana miaka 39? Mimi najua miaka yake, tumekulia sehemu moja, nawafahamu wazazi wake na ndugu zake. Acheni uongo watanganyika.
Ana sura ya KIPEMBA Hilo lipo wazii.. na fitna za waTZ ndipo utajua hujui wape TITLE STORY WATAWEKA WENYEWE..
Ni kama Mimi ukiniona ni mchaga mtupu kumbe kabila tofauti kabisa