Tunataka jina halisi la makamu wa Rais mteule

Tunataka jina halisi la makamu wa Rais mteule

Ni wewe tu unayefanana na Mmatumbi. Watanganyika mpo very judgemental mno, kama mama yake ni mrangi? Acheni hizo, angalia historia ya mtu, muwe mnasikiliza wakubwa zenu waliozaliwa miaka ya 1970 na mwisho wa 1968, sijui mtaelezwaje muelewe ninyi wamatumbi. Hata akili kidogo hamna, inanifanya niamini kuwa watanzania ni waongo sana, hata kuna vitu sasa naamini mnasingizia watu, Huyo Mange nilikuwa namuona ana akili, lakini naona ni bumunda, eti anasema Ndejembi ana miaka 39? Mimi najua miaka yake, tumekulia sehemu moja, nawafahamu wazazi wake na ndugu zake. Acheni uongo watanganyika.
Si ndo useme???
 
Angekuwa mtoto wa Ndejembi kweli, angekuwa ndo msemaji wa familia sio Edna. Au ni mtoto wa kufikia coz Ndejembi naye alikuwa moto.. Anachukua mama na mtoto. Wanawwke kibao wamebadilisha majina ya watoto wao na kuwapa ubini wa familia za Matajiri
Hii iwekee muendelezo Mkuu
Wanao mtetea hawaleti suluhisho
 
Duru zinasema hili sio jina lake halisi ni jina la kununua ili apate kusoma

Akiwa Dodoma anaitwa John, akirudi Pemba anaitwa Ali hamis Makame

kwann afiche majina yake?

Ikumbukwe hayati Rais Magufuli aliombwa na makamu wake wakati huo kumfikiria ktk uteuzi na kweli akateuliwa kuwa mkuu wa wilaya

usalama wa Taifa mpo?
Huyu ni mpemba wa Wete kabsaaa!
 
Kama raia, unapotilia shaka usalama au utambulisho wa kiongozi wa umma, njia sahihi na salama ni kuwasilisha malalamiko au ushahidi rasmi kwenye vyombo vya sheria na mamlaka husika badala ya kutegemea mijadala ya mitandaoni.
 
Mimi sio tatizo.

Tatizo lije kwenye ufanisi, weledi na uadilifu.
Awe mpemba au mchaga.
Awe Mkristo au muislam au asiye na dini.
Kwangu sioni tatizo.
Hiyo nafasi ni ya kula bata sio kwenda kuonesha ufanisi. Kina Gharib Bilal na SheIn waliweza. Hutakiwi hata kujituma mpaka bosi akutume .
 
Hayo ni mawazo ya kijinga, mnabisha msichokijua, hayo mambo ya conspiracy theory hayana maana, acheni kusingizia na kuongea vitu msivyovijua. Mawazo mabovu, kama mama yake ni mrangi? Mnadharau wagogo, kwani lazima wagogo wote wafanane? Acheni mambo ya kudharau watu wengine, ongeeni pointi za maana.
unaongea sana ila unaongea ujinga tu we eleza wasifu wake kasoma wap? na ww sio hizi porojo zako
 
Hiyo nafasi ni ya kula bata sio kwenda kuonesha ufanisi. Kina Gharib Bilal na SheIn waliweza. Hutakiwi hata kujituma mpaka bosi akutume .
Mkuu;
Are you serious? Unazungumzia Dr. Gharib Bilali na Shein? Wanahusianaje? Hasa kwenye mada? Hao wawili ni Wazanzibari na huyo mwingine ni Mtanganyika au Mbara.
 
Heri angalau angefanana na huyo mamake aliyempenyeza mabaki ya watumwa huko visiwani ambaye asili yake ni ntwara kuliko mpembaa. Wallahi mie ntu afananaye na mpembaa kujiita ntanganyika nshangaa sana yakhe.
Wewe umefika Bagamoyo au Tabora, kuna watu wengi sana wanafanana na Rostam, au hao unaowaita mabaki ya wapemba, wengi tu. Tembeeni muone, hata huko Mtwara (Ukisimama Nchale, ukikaa Nchale, ukitembea Nchale) wapo watu wengi kama wapemba......Lakini si wapemba. Acheni ubaguzi ninyi, kwa hiyo ukiwa MGOGO lazima ufanane na Matonya. Ebu fikirieni nje ya boksi.
 
Wewe umefika Bagamoyo au Tabora, kuna watu wengi sana wanafanana na Rostam, au hao unaowaita mabaki ya wapemba, wengi tu. Tembeeni muone, hata huko Mtwara (Ukisimama Nchale, ukikaa Nchale, ukitembea Nchale) wapo watu wengi kama wapemba......Lakini si wapemba. Acheni ubaguzi ninyi, kwa hiyo ukiwa MGOGO lazima ufanane na Matonya. Ebu fikirieni nje ya boksi.
Umepasahau KILOSA kuna copy za Makobazi zimeachwa pale. Ukienda sokoni unakuta Mwarabu anauza bucha wengine genge wengine mitumba
 
Back
Top Bottom