Tunataka jina halisi la makamu wa Rais mteule

Tunataka jina halisi la makamu wa Rais mteule

Hayo ni mawazo ya kijinga, mnabisha msichokijua, hayo mambo ya conspiracy theory hayana maana, acheni kusingizia na kuongea vitu msivyovijua. Mawazo mabovu, kama mama yake ni mrangi? Mnadharau wagogo, kwani lazima wagogo wote wafanane? Acheni mambo ya kudharau watu wengine, ongeeni pointi za maana.
Muonekano wa mtu ni hoja tosha kwenye uzawa.

Mfano mtu kama huyo useme kwao ni Tarime inafikirisha sana.

Kama unaijuwa Background check yake ni vizuri ukaiweka hapa kuliko kutujazia upumbavu na font za *******.
 
Duru zinasema hili sio jina lake halisi ni jina la kununua ili apate kusoma

Akiwa Dodoma anaitwa John, akirudi Pemba anaitwa Ali hamis Makame

kwann afiche majina yake?

Ikumbukwe hayati Rais Magufuli aliombwa na makamu wake wakati huo kumfikiria ktk uteuzi na kweli akateuliwa kuwa mkuu wa wilaya

usalama wa Taifa mpo?
CCM ndivyo walivyo! MaCCM ni majitu ya kiquma na kichoko sana.
 
Duru zinasema hili sio jina lake halisi ni jina la kununua ili apate kusoma

Akiwa Dodoma anaitwa John, akirudi Pemba anaitwa Ali hamis Makame

kwann afiche majina yake?

Ikumbukwe hayati Rais Magufuli aliombwa na makamu wake wakati huo kumfikiria ktk uteuzi na kweli akateuliwa kuwa mkuu wa wilaya

usalama wa Taifa mpo?
This is pure disinformation.
 
Mwinyi ni Mtanganyika kabisa sikatai. Ila Deo sio Mzanzibari, trust me bro.
Siyo tu siyo Mzanzibari. Hana hata historia ndefu na Samia, achilia mbali Uislamu. Nadhani kateuliwa kwasababu wameona ni kijana mdogo, hana political baggage, hana affiliation na makundi pinzani ndani ya chama, na ana mwonekano wa kuwa mtiifu kwa mamlaka ya Rais. Uteuzi wake naufananisha na wa Katambi.
 
Ni wewe tu unayefanana na Mmatumbi. Watanganyika mpo very judgemental mno, kama mama yake ni mrangi? Acheni hizo, angalia historia ya mtu, muwe mnasikiliza wakubwa zenu waliozaliwa miaka ya 1970 na mwisho wa 1968, sijui mtaelezwaje muelewe ninyi wamatumbi. Hata akili kidogo hamna, inanifanya niamini kuwa watanzania ni waongo sana, hata kuna vitu sasa naamini mnasingizia watu, Huyo Mange nilikuwa namuona ana akili, lakini naona ni bumunda, eti anasema Ndejembi ana miaka 39? Mimi najua miaka yake, tumekulia sehemu moja, nawafahamu wazazi wake na ndugu zake. Acheni uongo watanganyika.
Mkuu achana nae. Mtu asiye na hoja ndio uokoteza mambo ya Uraia na utaifa. Na inaonekana hata huyo Ndejembi hamjui vizuri. Ila alienda Dodoma ndio atamjua vizuri!
 
Back
Top Bottom