Tunataka katiba mpya, hiyo iliyopo wangapi wameisoma?

Tunataka katiba mpya, hiyo iliyopo wangapi wameisoma?

TATIZO: WENGI WETU TUNAPIGANIA TUSICHOKIJUA! Tunafuata mkumbo na upepo unakoelekea!
Zaidi ya yote wengi wanaotaka mabadiliko ya katiba hii mbovu tuliyonayo wanapigania katiba kwa maslahi yao binafsi na si kwa ajili ya Tanzania na Watanzania wake.
So what is your advice
 
We need a constitution that addresses current political, social, cultural, economical dimensions. You need not to have or the whole constitution for you to make comments:
You should be able to say: if the NEC announces the President who didn't win, as a winner, where should i take my concerns? how long should it take to be solved? provide an ample time to sort out differences before swearing in near president.
NEC who should appoint its commissioners, who are they answerable to, if they willingly give false results what will happen, if someone will retalliate to NEC officials b/se announcing the correct results what will happen,
how IGP is chosen, CDF, CAG, PCCCB boss, TISS boss, etc
We talk socialism and self reliance, is it still the same?
Natural resources sharing of the cake, how is it done, is it someone discretion or should be mentioned in the constitution,
I think we have a lot of issues that we must look and see how are they covered in the current constitution and how do we want it covered
 
Kuwa na katiba sio kuijua au kuisoma. Kumbuka haki za msingi za binadamu zilikuwepo kabla ya Katiba! Na haki hizo zinabadilika kila kukicha kukidhi mahitaji ya huyo binadamu. Mahitaji yanapobadilika na katiba haibadiliki huitaji kuwa na shahada ya juu ya elimu kujua kwamba hata hiyo katiba iliyopo haikidhi matakwa muhimu ya binadamu.
 
Kashaija ulichosema ni kweli kuwa kuna umuhimu wa watanzania kuifahamu katiba iliyopo ili kujua nini cha kurekebishwa na nini cha kuondoa.
Lakini hicho kitu naona kama hakiwezekani vile maana hata mazingira yaliyopo yanasababisha ugumu. Katiba inauzwa kwenye maduka ya serikali tu, ni miji mingapi yenye hayo maduka na wangapi wanafahamu yalipo? Kwa nini katiba isiuzwe kama vitabu vingine?
Halafu unaweza kwenda kwenye hayo maduka ukaambiwa hakuna au nenda sehemu fulani fulani.
Mfano nilipokuwa chuoni, niliwahi kutafuta sheria ya ushuru wa forodha ya Afrika Mashariki ambayo niliambiwa inapatikana TRA. TRA wakasema niende duka la vitabu la serikali ambako nao waliniambia niende TRA. Nilipigwa danadana na mwisho wa siku sikufanikiwa kuipata ikabidi nitoe kopi. Kwa mazingira hayo wangapi wanaweza kuipata katiba?
Kwa jinsi nchi inavyoendeshwa ni kama haina katiba, na hata katika kutoijua katiba tunatakiwa kusoma alama za nyakati. Mambo mengi yamebadilika, tuache kuwavunja moyo watanzania katiba mpya ni muhimu jamani.
Na siku zote haki haiombwi, inadaiwa. Katiba mpya ni haki yetu.
 
Tusiende kwa mkumbo tu. Seriously ukiwauliza wana JF, at least walio na elimu ya shahada, kuwa ni wangapi wana kopi ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kitakuwa ni kichekesho kwa kugundua kuwa hawatafika hata 20.

Nunua katiba muisome, vinginevyo mtaumbuka mkijidai kuchangia mada na weledi.

Kwa kawaida dunia inaendeshwa na watu wachache lakini wakipata msukumo na uungwaji mkono na jamii kwa upana. Hata hawa wanaowachagua viongozi kwa kupiga kura huenda kwa ushabiki vilevile.
Jadili upya hoja yako!!
 
Kwa kawaida dunia inaendeshwa na watu wachache lakini wakipata msukumo na uungwaji mkono na jamii kwa upana. Hata hawa wanaowachagua viongozi kwa kupiga kura huenda kwa ushabiki vilevile.
Jadili upya hoja yako!!

Ndio maana walengwa wangu "Seriously ukiwauliza wana JF, at least walio na elimu ya shahada.
Ninafikiri ni vizuri mtu mwenye digrii kujua ABC za katiba ili awaelekeze hao wengine wanaomfuata.
 
Ebu acha mambo ya kijinga. unadhani shahada ndiyo nini?
Mbona kikwete ana shahada lakini ni mbubmu kuliko hata wasio na shahada!!!
Msitishe watu na shahada,akili zenu za kijinga hizo ndiyo maana mnalipishwa pasipo na sababu?
 
Ebu acha mambo ya kijinga. unadhani shahada ndiyo nini?
Mbona kikwete ana shahada lakini ni mbubmu kuliko hata wasio na shahada!!!
Msitishe watu na shahada,akili zenu za kijinga hizo ndiyo maana mnalipishwa pasipo na sababu?

Pole kaka kama una shahada. Nina maana shahada ya mpiga kura. Yako imepotea?
 
Back
Top Bottom