Tunataka kuchukua mkopo Bank

Mbudi

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
577
Reaction score
157
Habarini wanajamvi,

Mimi na mdogo wangu tunaishi Mwanza kwa kwasasa kunakiwanja tuliachiwa na mama yetu ambaye ni marehemu kwa sasa kipo Arusha Kisongo pia pananyumba mbili za tope squatter.

Nilipenda kujua tunaweza kukiweka rehani tukapewa mkopo bank.

Ila tunaishi Mwanza sijui imekaaje hapo kwa kwawatalamu hakina hati.

0764 759 314 naombeni ushauri hatujuii tuanzie wapi tuishie wapi.
 
msiuze katengenezen hati kwa ofice za serikali ya mitaa then mkakope benk
 
Serikali ya mtaa wanaandaa document inayotambulika kuwa una kiwanja katika mtaa fulani ukubwa wake na majina ya majirani wanasaini na mmiliki anasaini mwisho Mwenyekiti wa serikali ya mtaa anasaini na kuweka muhuri ukienda Bank kama NMB, AKIBA, POSTA wanakubali kwa mkopo mdogo sio wa mamilioni.

Ila kwa wewe uliye Mwanza haitawezekana inabidi kiwanja kiwe Mwanza ili maafisa mikopo wakione au mkopo uombee Arusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…