seriously,haya ni mageni kwangu kuhusu kitovu.sikujua kama mtu anaweza kufanyia ushirikina kuhusu kitovu
Toka lini mama akawa hana final say juu ya mtoto wake? mengine yote sema ila usimpotoshe mwenzio kwenye hili la mwenye final say kwa mtoto.
Na wewe ni mshirikina, KWANINI SIKU ZOTE USIKITUPE CHOONI KWA SIRI KM HUNA NIA YA KUKIFANYIA USHIRIKINA?
Mimi naona mleta mada hamumtendei haki. Ingekuwa wewe mama mkwe anakuomba kitovu cha mtoto...ungempa kwa kuwa wewe unamuamini Mungu?
Anakitaka cha nini????
Mimi namuamini Mungu lakini najua uchawi upo...hivyo nisinge mpa mtu kitovu cha mwanangu... simple. Akipata matatizio nianze tena kuhangaika kwa mapadre na wachungaji???
ok nyumba kubwa,nitumie uwingi sasa,yeye na wakwe zake kwa pamoja,wana matatizo-superstitious,period
Haha hahaWewe binafasi unagombea hicho kitovu cha mtoto ili ukifanyie nini? Inaonekana wazi wote ni magwiji wa uchawi sasa mambo yamewashinda mnaanza kuyaweka hadharani. Mgeukie Yesu ukatubu, achana na mambo ya kishirikina.