Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
- Ripoti zote za mkaguzi wa hesabu za serikali (CAG) zifanyiwekazi bila uonevu wala kuoneana haya
- Sauti ya umma isikilizwe na kuheshimiwa
- Polisi waishi kwenye viapo vyao wasivuke mipaka ya PGO
- Utawala Bora iwe ni mandatory siyo option
- Kuku wote watagie bandani (wenye akili wamenielewa)
Baada ya hapo, anzisha vita na bifu kali dhidi ya wanaojiuza miili yao.
Hizi kamata kamata zinafanyika kiholela hazisaidii kuondoa tatizo, sana sana bei ya huduma itaongezeka maana Haramu ni demandable