Bila Sex Workers inawezekana tutashuhudia migogoro mingi sana ya kifamilia na changamoto mbali mbali, inabidi tukubaliane na uhalisia tu ya kuwa hawa watu ni sehemu ya utulivu wa jamii, ninachoweza kuishauri serikali ni iangalie namna bora ya kuiratibu bishara hii na labda hata kui ingiza katika mfumo wa uchumi, yanaweza kutengwa maeneo rasmi kama vile Soho red light district kule london ambako huduma ya Sex workers itapatikana, wajasiriamali hawa pia wapewe elimu juu ya ngono salama na jinsi ya kujilinda kikamilifu dhidi ya maradhi ya ngono, vinginevyo ni kupoteza muda tu dunia imehamia kwenye digital platform biashara imekuwa rahisi zaidi.