Nimeanza kufanya uchunguzi wa kuwekeza kwenye Kilimo Tanzania kwa kusaidiana na wawekezaji wa US Kwenye Kilimo. US ina tengeneza 40% ya chakula chote duniani wakati wana 10% tu wa eneo. Tatizo kubwa nililonalo Tannzania ni kuogopa sera kubadilika badilika kila wakati za kilimo, kuruhusu uuzaji wa mazao nje na tatu kodi ya vifaa vya kilimo ikiwa pamoja na vya umwagiliaji. Tunaomba kuwe na sera za uhakika hata kama hatukubaliani nazo ili tuweze kuwekeza. Mfano wa kilimo kwanza