HOJA Tunataka mabadiliko kwenye Soko la Nkwenda wilayani Kyerwa

HOJA Tunataka mabadiliko kwenye Soko la Nkwenda wilayani Kyerwa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

carbohydates

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2026
Posts
260
Reaction score
607
Mdau kutoka kata ya Nkwenda, wilaya ya Kyerwa, mkoani Kagera, amesema wananchi wa eneo hilo wanahitaji maendeleo, akieleza kuwa wamechoshwa na hali ya kukosekana kwa huduma muhimu za kijamii.

Mdau huyo amesema wananchi wanadai mabadiliko kutoka kwa viongozi wao, akibainisha kuwa miongoni mwa changamoto zinazowakabili ni suala la soko, huku akieleza kuwa wanahitaji kujengewa soko jipya ili kurahisisha shughuli zao za kibiashara.

Chanzo :Isagraphic Tz

 
Back
Top Bottom