Tunataka Serikali Mbili-Wazanzibar

Tunataka Serikali Mbili-Wazanzibar

Head teacher

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Posts
1,796
Reaction score
412
Kwa mshangao mkubwa leo nimeshuhudia katika taarifa ya habari channel 10 eti Wazanzibar wanapendekeza serikali mbili ziendelee. Nadhani walikuwa wanawapima Watanganyika wakidhani sisi tunahusudu Muungano wa mauzauza na Zanzibar. Itakuwa wameona kuna hasara nyingi kuliko faida kwa wao kujitia kimbelembele kudai hawautaki muungano. Bahati yao. Wameona mbali. Zanzibar bila Muungano ni majanga, njaa, vita, ugaidi, nk. Na utalii ungekufa. Pamoja na msimamo wenu Sisi Watanganyika tutapigania serikali tatu, tukishindwa basi serikali moja, na hiyo tukishindwa Tutapigania serikali mbili ya Tanganyika na Muungano. Ni zamu ya serikali ya Zanzibar kufreeze kama ilivyo freeze serikali ya Tanganyika.
 
Hivi nyinyi mnawajuwa wahafidhina wa CCM Zanzibar kweli? hawa ni wanafiki na wanaoongozwa na baadhi ya waandishi wa habari uchwara ambao daima huongozwa na utashi badala ya uhalisia.kinachoendelea kule katika mabaraza ya katiba baada ya kuyateka mabaraza hayo hasa katika mikoa na wilaya zenye ngome zao WAANDISHI WAO WANARIPOTI ETI NI YA WAZANZIBARI,HUTASIKIA WAKIRIPOTI MAONI TOFAUTI (Bias). Ukweli ni kwamba WAZANZIBARI WENGI HAWATAKI SERIKALI 3,2 wala 1WAO ni MAMLAKA KAMILI NA KUKIWA NA HAJA YA MUUNGANO BASI NI MKATABA wanafahamu sana hili hawatoripoti kwa sababu sio (interests yao). Mabaraza yakatiba yameanza unguja kusini na kaskazini ambazo ni ngome zao hata hivyo wananchi wazalendo wametowa maoni mazuri tu hayatasemwa na wahafidhina .Kwa taarifa zenu mabaraza ya katiba Zanzibar ni 13 hili la wilaya ni 1 tu. kuna ya kidini,sheria, elimu za juu,watu wenye mahitaji maalum, vyama vya siasa, asasi za kiraia nk sasa jee haya ya wilaya hata mkifanikiwa ( najuwa haiwezekani) haya mengine itakuwaje? mwaka huu wahafidhina mnalo limewaganda.Ni waambie kule bara sasa wameamka wanataka TANGANYIKA YAO. WANA JF MUUNGANO NDICHO KICHAKA CHA CCM KILICHOBAKI hufunika mambo kwa kisingizio chakulinda MUUNGANO kumbe wanafaidi na hukitumia kuwanyamazisha wanamabadiliko. Tumewagunduwa zamani huku na ndio maana wakangangania ser 2 . wanajuwa wamekwisha sipati picha BARA CHADEMA ZANZIBAR CUF.haya yanawatia kiwewe.LKN TUWE MAKINI HAWA JAMAA KWA HILI WATATUMALIZA wataendelea na mikakati ya kungowa watu kucha sijuwi watafanikiwa . HAKUNA KURUDI NYUMA.
 
kishada umenena hekima tupiu,huo ndio ukweli. hakuna kurudi nyuma serikali mbili ni sera ya c.c.m kuzuia mabadiliko
 
Hao Wanzbar wapenzi wa serikali mbili ni wangapi na ni kina nani?
 
Wa-zanzibari hawataki Serikali 2 ni uongo mtupu unaoripotiwa na Waandishi uchwara wanaolinda sera ya CCM. Zanzibar Kama Hakuna Mkataba basi Serikali 3 na Kama Hakuna hivyo basi uvunjike Muungano wa Kikoloni
 
Lini ilipigwa kura ya maoni kuulizwa kama wazbr wanataka serekali 2,1,5,au 7 ?na je lini waliulizwa kama wanautaka huo muungano?nadhani hao chanel 10 hawajaupata waraka wa magamba(c.c.m)unao elekeza kupinga rasimu ya katiba,na huko tanganyika akisimama nape kutoa maoni je chanel ten wataripoti kuwa hayo ni maoni ya watanganyika wote?zanzibr kwanza shengesha baadae.
 
Hivi nyinyi mnawajuwa wahafidhina wa CCM Zanzibar kweli? hawa ni wanafiki na wanaoongozwa na baadhi ya waandishi wa habari uchwara ambao daima huongozwa na utashi badala ya uhalisia.kinachoendelea kule katika mabaraza ya katiba baada ya kuyateka mabaraza hayo hasa katika mikoa na wilaya zenye ngome zao WAANDISHI WAO WANARIPOTI ETI NI YA WAZANZIBARI,HUTASIKIA WAKIRIPOTI MAONI TOFAUTI (Bias). Ukweli ni kwamba WAZANZIBARI WENGI HAWATAKI SERIKALI 3,2 wala 1WAO ni MAMLAKA KAMILI NA KUKIWA NA HAJA YA MUUNGANO BASI NI MKATABA wanafahamu sana hili hawatoripoti kwa sababu sio (interests yao). Mabaraza yakatiba yameanza unguja kusini na kaskazini ambazo ni ngome zao hata hivyo wananchi wazalendo wametowa maoni mazuri tu hayatasemwa na wahafidhina .Kwa taarifa zenu mabaraza ya katiba Zanzibar ni 13 hili la wilaya ni 1 tu. kuna ya kidini,sheria, elimu za juu,watu wenye mahitaji maalum, vyama vya siasa, asasi za kiraia nk sasa jee haya ya wilaya hata mkifanikiwa ( najuwa haiwezekani) haya mengine itakuwaje? mwaka huu wahafidhina mnalo limewaganda.Ni waambie kule bara sasa wameamka wanataka TANGANYIKA YAO. WANA JF MUUNGANO NDICHO KICHAKA CHA CCM KILICHOBAKI hufunika mambo kwa kisingizio chakulinda MUUNGANO kumbe wanafaidi na hukitumia kuwanyamazisha wanamabadiliko. Tumewagunduwa zamani huku na ndio maana wakangangania ser 2 . wanajuwa wamekwisha sipati picha BARA CHADEMA ZANZIBAR CUF.haya yanawatia kiwewe.LKN TUWE MAKINI HAWA JAMAA KWA HILI WATATUMALIZA wataendelea na mikakati ya kungowa watu kucha sijuwi watafanikiwa . HAKUNA KURUDI NYUMA.

Nakuunga mkono!
 
Kwa mshangao mkubwa leo nimeshuhudia katika taarifa ya habari channel 10 eti Wazanzibar wanapendekeza serikali mbili ziendelee. Nadhani walikuwa wanawapima Watanganyika wakidhani sisi tunahusudu Muungano wa mauzauza na Zanzibar. Itakuwa wameona kuna hasara nyingi kuliko faida kwa wao kujitia kimbelembele kudai hawautaki muungano. Bahati yao. Wameona mbali. Zanzibar bila Muungano ni majanga, njaa, vita, ugaidi, nk. Na utalii ungekufa. Pamoja na msimamo wenu Sisi Watanganyika tutapigania serikali tatu, tukishindwa basi serikali moja, na hiyo tukishindwa Tutapigania serikali mbili ya Tanganyika na Muungano. Ni zamu ya serikali ya Zanzibar kufreeze kama ilivyo freeze serikali ya Tanganyika.

Ukweli ni kwamba Wazanzibar hawautaki muungano!
 
Na ikibidi kama hamfahamu kuwa z'br haitaki muungano tunawaachia simba a.k.a B52 a.k.a UAMSHO wakufahamisheni nadhani mutawaelewa.
 
Ukweli ni kwamba WAZANZIBARI HAWATAKI SERIKALI 3,2 wala 1WAO ni MAMLAKA KAMILI NA KUKIWA NA HAJA YA MUUNGANO BASI NI MKATABA

muungano-gani-unaokusudiwa-430x320.jpg

Na hawa vipi, mbona mwatuchanganya jamani. Kwani msikubaliane mvunje tu huu Muungano. Vikumbo vya nini?
 
Kwa mshangao mkubwa leo nimeshuhudia katika taarifa ya habari channel 10 eti Wazanzibar wanapendekeza serikali mbili ziendelee. Nadhani walikuwa wanawapima Watanganyika wakidhani sisi tunahusudu Muungano wa mauzauza na Zanzibar. Itakuwa wameona kuna hasara nyingi kuliko faida kwa wao kujitia kimbelembele kudai hawautaki muungano. Bahati yao. Wameona mbali. Zanzibar bila Muungano ni majanga, njaa, vita, ugaidi, nk. Na utalii ungekufa. Pamoja na msimamo wenu Sisi Watanganyika tutapigania serikali tatu, tukishindwa basi serikali moja, na hiyo tukishindwa Tutapigania serikali mbili ya Tanganyika na Muungano. Ni zamu ya serikali ya Zanzibar kufreeze kama ilivyo freeze serikali ya Tanganyika.

Peke yako ndiyo yunataka hizo serikali mbili, Lakini Sisi Wanzanzibari wa kweli , Tunahitaji Zanzibar yetu with full Authority.
 
Hivi nyinyi mnawajuwa wahafidhina wa CCM Zanzibar kweli? hawa ni wanafiki na wanaoongozwa na baadhi ya waandishi wa habari uchwara ambao daima huongozwa na utashi badala ya uhalisia.kinachoendelea kule katika mabaraza ya katiba baada ya kuyateka mabaraza hayo hasa katika mikoa na wilaya zenye ngome zao WAANDISHI WAO WANARIPOTI ETI NI YA WAZANZIBARI,HUTASIKIA WAKIRIPOTI MAONI TOFAUTI (Bias). Ukweli ni kwamba WAZANZIBARI WENGI HAWATAKI SERIKALI 3,2 wala 1WAO ni MAMLAKA KAMILI NA KUKIWA NA HAJA YA MUUNGANO BASI NI MKATABA wanafahamu sana hili hawatoripoti kwa sababu sio (interests yao). Mabaraza yakatiba yameanza unguja kusini na kaskazini ambazo ni ngome zao hata hivyo wananchi wazalendo wametowa maoni mazuri tu hayatasemwa na wahafidhina .Kwa taarifa zenu mabaraza ya katiba Zanzibar ni 13 hili la wilaya ni 1 tu. kuna ya kidini,sheria, elimu za juu,watu wenye mahitaji maalum, vyama vya siasa, asasi za kiraia nk sasa jee haya ya wilaya hata mkifanikiwa ( najuwa haiwezekani) haya mengine itakuwaje? mwaka huu wahafidhina mnalo limewaganda.Ni waambie kule bara sasa wameamka wanataka TANGANYIKA YAO. WANA JF MUUNGANO NDICHO KICHAKA CHA CCM KILICHOBAKI hufunika mambo kwa kisingizio chakulinda MUUNGANO kumbe wanafaidi na hukitumia kuwanyamazisha wanamabadiliko. Tumewagunduwa zamani huku na ndio maana wakangangania ser 2 . wanajuwa wamekwisha sipati picha BARA CHADEMA ZANZIBAR CUF.haya yanawatia kiwewe.LKN TUWE MAKINI HAWA JAMAA KWA HILI WATATUMALIZA wataendelea na mikakati ya kungowa watu kucha sijuwi watafanikiwa . HAKUNA KURUDI NYUMA.

Sina haja ya kupunguza busara zako kishada! Umenena kweli tupu
 
muungano-gani-unaokusudiwa-430x320.jpg

Na hawa vipi, mbona mwatuchanganya jamani. Kwani msikubaliane mvunje tu huu Muungano. Vikumbo vya nini?

Angalieni picha vizuri mnaweza kuta watu wamepandishwa boti kutoka bara, siamini km ni wazanzibar hao
 
Hivi nyinyi mnawajuwa wahafidhina wa CCM Zanzibar kweli? hawa ni wanafiki na wanaoongozwa na baadhi ya waandishi wa habari uchwara ambao daima huongozwa na utashi badala ya uhalisia.kinachoendelea kule katika mabaraza ya katiba baada ya kuyateka mabaraza hayo hasa katika mikoa na wilaya zenye ngome zao WAANDISHI WAO WANARIPOTI ETI NI YA WAZANZIBARI,HUTASIKIA WAKIRIPOTI MAONI TOFAUTI (Bias). Ukweli ni kwamba WAZANZIBARI WENGI HAWATAKI SERIKALI 3,2 wala 1WAO ni MAMLAKA KAMILI NA KUKIWA NA HAJA YA MUUNGANO BASI NI MKATABA wanafahamu sana hili hawatoripoti kwa sababu sio (interests yao). Mabaraza yakatiba yameanza unguja kusini na kaskazini ambazo ni ngome zao hata hivyo wananchi wazalendo wametowa maoni mazuri tu hayatasemwa na wahafidhina .Kwa taarifa zenu mabaraza ya katiba Zanzibar ni 13 hili la wilaya ni 1 tu. kuna ya kidini,sheria, elimu za juu,watu wenye mahitaji maalum, vyama vya siasa, asasi za kiraia nk sasa jee haya ya wilaya hata mkifanikiwa ( najuwa haiwezekani) haya mengine itakuwaje? mwaka huu wahafidhina mnalo limewaganda.Ni waambie kule bara sasa wameamka wanataka TANGANYIKA YAO. WANA JF MUUNGANO NDICHO KICHAKA CHA CCM KILICHOBAKI hufunika mambo kwa kisingizio chakulinda MUUNGANO kumbe wanafaidi na hukitumia kuwanyamazisha wanamabadiliko. Tumewagunduwa zamani huku na ndio maana wakangangania ser 2 . wanajuwa wamekwisha sipati picha BARA CHADEMA ZANZIBAR CUF.haya yanawatia kiwewe.LKN TUWE MAKINI HAWA JAMAA KWA HILI WATATUMALIZA wataendelea na mikakati ya kungowa watu kucha sijuwi watafanikiwa . HAKUNA KURUDI NYUMA.
Kama uliyozungumzani kweli Pambaneni muwe huru WAZANZIBARI, SISI TUMECHOKA KUSINGIZIWA TUNAKWAMISHA MAENDELEO YENU.DAINI MAMLAKA KAMILI TUTAWAUNGA MKONO TUONE CCM WATASHIKA WAPI. MAHAYAWANI HAWA...!
 
Wa-zanzibari hawataki Serikali 2 ni uongo mtupu unaoripotiwa na Waandishi uchwara wanaolinda sera ya CCM. Zanzibar Kama Hakuna Mkataba basi Serikali 3 na Kama Hakuna hivyo basi uvunjike Muungano wa Kikoloni
Haya tuuvunje kwa vitendo
 
Hao Wanzbar wapenzi wa serikali mbili ni wangapi na ni kina nani?

Mnamaanisha Wazanzibari au Waunguja? Nauliza hivi kwa kuwa msimamo wa Wapemba unafahamika kwamba wanataka dola kamili. Sasa hii kitu ingine inatoka wapi?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kwa mshangao mkubwa leo nimeshuhudia katika taarifa ya habari channel 10 eti Wazanzibar wanapendekeza serikali mbili ziendelee. Nadhani walikuwa wanawapima Watanganyika wakidhani sisi tunahusudu Muungano wa mauzauza na Zanzibar. Itakuwa wameona kuna hasara nyingi kuliko faida kwa wao kujitia kimbelembele kudai hawautaki muungano. Bahati yao. Wameona mbali. Zanzibar bila Muungano ni majanga, njaa, vita, ugaidi, nk. Na utalii ungekufa. Pamoja na msimamo wenu Sisi Watanganyika tutapigania serikali tatu, tukishindwa basi serikali moja, na hiyo tukishindwa Tutapigania serikali mbili ya Tanganyika na Muungano. Ni zamu ya serikali ya Zanzibar kufreeze kama ilivyo freeze serikali ya Tanganyika.
Watasemaje serikali mbili wakati wana ya kwao? Acha watanganyika waseme wenyewe
 
Tanganyika ikirudi sisi hatuna shida na hizo nyingine.
 
Watasemaje serikali mbili wakati wana ya kwao? Acha watanganyika waseme wenyewe

Ttzo ccm zanzbr wanawaburuza ccm tanganyika na ndio maana hakuna ccm tanganyika atakae simama na kuitetea tanganyika yenu.
 
Labda CCM mutujibu maswali haya;
1.Jumla ya idadi ya watz kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni ni ngapi?
2.Muna jumla ya wanachama wangapi nchi nzima?(jumlisheni na wasiowatiifu kwa chama chenu)
3.Munafikiri kwa idadi hiyo ndogo ya wanachama na wapenzi wa chama chenu kwa sasa munaweza kubadili maamuzi ya watz walio wengi?
4.Munafikiri kwa kumtumia m/kiti wenu wa Chama kuwahadaa wenyeviti wa vyama vingine! Kwa vyeo,vijituzo vya fasta fasta ndo itawasaidia chama chenu kuungwa mkono na vyama vyao?
NB;Tz ni kubwa kuliko Lumumba kama ilivyo kwa Watz waliochoshwa kwa ulaghai,wizi pamoja na UOVU mwingi munao husimamia ni wengi mnoo kuliko wana CCM watiifu kwa chama chenu.Hivyo basi hata mukiokoteza wenyenjaa na kuwakaririsha maneno ya kusema kwenye vyombo ya habari bado si dawa na wala haisaidiii! Hata mukinunua muda kwenye media zote na mukataka zisikike sauti zenye mlengo wenu tu nawahakikishia hamutaweza kubadili msimamo wa waTz walio wengi ambao hawamiliki kadi ya chama chochote cha siasa hadi hivi sasa.
 
Back
Top Bottom