Suala vijana kwenda au kutokwenda jkt limekuwa tata kwa vijana wanaotegemea kujiunga elimu ya juu huku wakishindwa washike lipi kutokana na tamko lililotolewa na waziri wa ulinzi bungeni na almanac za vyuo zinazowataka kuripoti vyuoni mwezi sept/oct, sasa ni wakati waziri mwenye dhamana kulitolea ufanunuzi ili kuondoa sintofahamu miongoni mwa wanafunzi,wazazi/walezi na vyuo.
nae hajui kama sisi

Mkuu Molembe jkt nina uhakika asilimia mia kwamba haitakuepo sababu kwanza kuna vyuo wanaripoti leo na jumatatu wanaanza orientation mfano mzuri MWUCE, ..na pia SAUT wanaripoti jumatatu.Waziri aliposema kuna awamu ya tatu na ya nne hakusema kwamba ni vijana waliomaliza kidato cha sita ndIo wataenda...... mawazo yangu
nae hajui kama sisi
Kweli ameelea tu hapo juu juu.
Kuna habari nilizisoma kupitia gazeti la habari leo la trh 27/08..walitoa takwimu ya idadi ya wahitimu wa form 6 ambao wanahitajika kuingia katika mafunzo ya jkt katika awamu tofauti
Intake ya kwanza ya march wanafunzi 5000 (12%)
Intake ya pili ya june wanafunzi 10000 (24%)
Intake ya tatu ya october wanafunzi 15000 (37%)
Intake ya nne ya january wanafunzi 11341 (27%)