Suala vijana kwenda au kutokwenda jkt limekuwa tata kwa vijana wanaotegemea kujiunga elimu ya juu huku wakishindwa washike lipi kutokana na tamko lililotolewa na waziri wa ulinzi bungeni na almanac za vyuo zinazowataka kuripoti vyuoni mwezi sept/oct, sasa ni wakati waziri mwenye dhamana kulitolea ufanunuzi ili kuondoa sintofahamu miongoni mwa wanafunzi,wazazi/walezi na vyuo.