B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 24,831 Reaction score 45,154 Dec 14, 2024 #21 Dede 01 said: Hapana,ila mkuu katika maisha jitahidi sana kutafuta hekima na maarifa hivyo vinaweza kukusaidia katika nyanja mbalimbali maishani. Click to expand... Ni sahihi.
Dede 01 said: Hapana,ila mkuu katika maisha jitahidi sana kutafuta hekima na maarifa hivyo vinaweza kukusaidia katika nyanja mbalimbali maishani. Click to expand... Ni sahihi.
nyoka in JF-Expert Member Joined Aug 27, 2024 Posts 518 Reaction score 318 Dec 14, 2024 #22 Kila mtu duniani anaweza kueleza kwa ufasaha kabisa namna ya kutoboa lkn shida ipo kwenye utoboaji wenyewe.
Kila mtu duniani anaweza kueleza kwa ufasaha kabisa namna ya kutoboa lkn shida ipo kwenye utoboaji wenyewe.
Kazanazo JF-Expert Member Joined Aug 16, 2023 Posts 2,582 Reaction score 4,554 Dec 14, 2024 #23 nyoka in said: Kila mtu duniani anaweza kueleza kwa ufasaha kabisa namna ya kutoboa lkn shida ipo kwenye utoboaji wenyewe. Click to expand... Utasikia kuna jamaa angu anafanya
nyoka in said: Kila mtu duniani anaweza kueleza kwa ufasaha kabisa namna ya kutoboa lkn shida ipo kwenye utoboaji wenyewe. Click to expand... Utasikia kuna jamaa angu anafanya
Dede 01 JF-Expert Member Joined May 12, 2024 Posts 1,182 Reaction score 2,248 Dec 14, 2024 Thread starter #24 nyoka in said: Kila mtu duniani anaweza kueleza kwa ufasaha kabisa namna ya kutoboa lkn shida ipo kwenye utoboaji wenyewe. Click to expand... Kubadili fursa kuwa kipato inaweza kuwa ngumu,tatizo watu wengi hukata tamaa na ni waoga wa kutake risks.
nyoka in said: Kila mtu duniani anaweza kueleza kwa ufasaha kabisa namna ya kutoboa lkn shida ipo kwenye utoboaji wenyewe. Click to expand... Kubadili fursa kuwa kipato inaweza kuwa ngumu,tatizo watu wengi hukata tamaa na ni waoga wa kutake risks.