Varbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,124
- 895
Kutokana Na mabadiliko ya SIASA zetu na Muungano unavyokwenda ni wazi kabisa tunatakiwa tusimame pamoja wananchi wote Tanzania bara kuirudisha Tanganyika.
Muundo wa Sasa inaonyesha ni jinsi gani wazanzibari wanaitumia Tanganyika kwa manufaa yao huku bara ikiwa hainufaiki moja kwa moja. Haya hapa mapendekezo yangu kuhusu muundo mpya wa Tanganyika!
Hata Kama hatutavunja muungano Lkn Hakuna mzanzibari yeyote kushika nyadhifa yoyote serikalini Na kwenye majeshi yetu! Ikiwepo uwaziri, ubunge kamanda wa Aina zote bara ijitegemee Na Zanzibar ijitegemee kiuongozi. Asitokee mtanganyika yeyote kushika nyadhifa yoyote Zanzibar.