Tunatatua tatizo la GPS kuisha muda (GPS expire)

delp307

Senior Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
160
Reaction score
125
TATIZO LA GPS KUISHA MUDA (GPS EXPIRE)
  • Je kifaa cha GPS ambacho unatumia kinakwambia GPS expire?
  • Je umeshindwa kulipia platform online unayotumia kwa ajili ya GPS yako
  • Je una kifaa cha GPS ambacho umeshindwa kukitumia kwasababu umekosa platform
  • Je wewe ni fundi na unamiliki vifaa vya GPS na unataka kufanya biashara lakini unashindwa kupata platform kwa ajili ya wateja wako?
Baada ya ufungaji kila kifaa (Device) huwa kinakuwa na application (Platform) yake inayo kuwezesha kuona chombo chako kupitia simu ya mkononi au kompyuta. Application ( Platform) hizi nyingi huwa ni bure kwa kipindi cha miezi sita mpaka mwaka mmoja.

Hapo ndipo mafundi wengi wanawaambia wateja wao kuwa Application hizo kuwa ni za bure.Tatizo uanza baada ya miezi sita au mwaka hapo ndo utaona kifaa chako kimesimama kuripoti na mara nyingi itakuambia DEVICE EXPIRE.

Hapo ndipo utamtafuta fundi wako naye mara nyingi atakua anakukwepa na hata akikupa ushirikiano mara nyingi watakwambia badilisha sim card hata hivyo njia hiyo haiwezi kutatua tatizo mwisho wa siku watakwambia kuwa device imekufa na watakushawishi ununue nyingine ambayo baada ya miezi sita au mwaka tatizo lilelile linajirudia tena.

ISECURE TECHNOLOGY
tuna platform ya uhakika na ya kuamika ambayo tunaweza kuchukua hiko kifaa chako na kukihamishia kwenye mfumo wetu wa GPS. Huitaji kununua kifaa kingeni, tunatumia hicho kifaa ulichonacho na kitafanya kazi kawaida tu

GHARAMA
  • Kwa wateja wanaotaka kuhamishia vifaa vyao kwenye mfumo wetu watatakiwa walipe gharama ya Tsh 50,000.
  • Kwa wateja wapya ambao watataka wafungiwe vifaa vipya gharama itakuwa ni 150,000 tsh
Tupigie kwa maelezo zaidi

0710141917
 
Hiyo 50,000 ni kwa ajili ya kufanyia usajili wa kifaa chako kwenye server zetu. Kumbuka hii ni kwa wale ambao wanazo gps tayari na hazifanyi kazi kutokana na kuwa expired

ndio nimeuliza kama ni jumla au kuna malipo ya mwezi
 
ku
ndio nimeuliza kama ni jumla au kuna malipo
Baada ya kulipia (50,000) huduma ya kuhamishia kifaa chako kwenye server zetu, kutakuwa kuna malipo kwa mwaka ya 20,000 haya malipo ni kila mwaka
 
Back
Top Bottom