Pre GE2025 Tunategemea mwandishi kama huyu atasimama kuibua maovu nchini kama ananunulika na minofu ya nyama tu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kiukweli ni aibu!
P
Unaona aibu kwa sababu sababu tukio kama hili limeandaliwa na mbunge Sengerema na kuwakarimu jamii ya eneo!
Hakika nikwambie matukio kama haya ni mengi mno tena tangue enzi na enzi na Pascal Mayalla umekula sana mema ya nchi kipindi cha Mkapa. Unazikumbuka zile safar zako Davos, London, Basel kwa ndege ya Serikali.

Hata kipindi hiki sijaona ukiwashangaa akina Balile, Kitenge - Wakala wa LI-DP WORLD wanavyojikomba kwa serikali ya awamu ya sita.
Mbona umeshangaa mambo ya sengerema!
 
Wakuu heri ya mwaka mpya,

Kweli tunategemea mwandishi kama huyu atasimama imara kuibua maovu nchini? Kweli mwandishi wa hivi atakuwa mstari wa mbele kuibua kero zinazowakumba wananchi kama nyama tu mefanya kuwa chawa kiasi hiki?

Mwandishi unasifia kununuliwa viatu vya gharama? Sijui kununulia jezi ya ligi ya jimbo, huko kichwani kuna kitu kweli?

Tunategema ninyi ndio mpaze sauti za wananchi na kuwahabirisha kwa kuwapa taarifa sahihi ili waweze kufanya maamuzi sahihi, namna hii mnaaibisha taaifa, yaani mko cheap kuliko cheap yenyewe.

Halafu kwa ujinga wenu mnaona maisha mmeyapatia hapo! Kuna gharama kubwa ya kulipia, vyote mnavyokula mtalipa na mkishamalizika matumizi hao mnaliwa vichwa, lakini wala hamfikirii hilo. Wewe unaona umeukwaa lakini unasahau wewe ni mshiriki wa moja kwa moja kwenye kuwanyima haki watoto wako, ndugu zako na watanzania kwa ujumla. Ukosefu wa haki, unyonjaji, na uonevu wote wanaopitia watanzia wewe mmoja wa watu unayechangia dhuluma hii kuendelea.

"Kama unavyotazama, ni kitoweo cha mbuzi pamoja na kondoo amejitolea mbunge wa jimbo la sengerema, Mwanza, Mh. Hamisi Tabasamu. Waandishi wa Habari, radio free Africa, radio sengerema FM mwakilishi hapa unaniona Emannuel Twimanye, (kutoka) gazeti la mwananchi Makaka naye anapata hapa.

"Kubwa zaidi bila shaka hakuna mbunge wa aina hii mwenye kujitolewa kwa wanahabari wake kama wananchi wake wapiga kura wa kumsaidia, sisi ni waandishi ambao tunamuahidi Mubunge wa Jimbo la Sengerema Komredi Hamisi Tabasamu hakika tutaendelea kuchahapa nae kazi bega kwa begam waka 2024 si tu kwasababu ametoa nyama, yako mambo mengi ambayo ametusaidia mbunge.

"Ametusaidia vifaavya kwendda field hasa viatu vyenye gharama kubwa lakini pia jezi za michezo na burudani kwaajili ya kuhakikisha tunatangaza jimbo Cup 23, na hakika ilikuwa ya moto ambayo ni kama English Premier League, ligi pendwa kule uingereza. Timu 184 zimerindima katika jimbo la Sengerema

"Lakini si hayo tu, Mbunge amtusaidia mambo mengi ambayo kwa namna moja au nyingine yamkini tunasita kuyazungumza, wapo watu wenye wivu mkubwa wanaweza wakatufanyia hiyana.

"Na tukuahidi tu mbali na kitoweo hiki alivhokitoa mbunge pamoja na vifaa vya michezo; viatu tunakuahidi, kuna ngoma inakuja, gari jipya la waandishi wa habari.

"Mbunge tunakuomba ututazame 2024 utupe gari la kufikia maeneo mbalimbali kuandika kero za wananchi, maafa yanasumbua wananchi, nyumba zimedondoka watu wamekufa.

"Mbunge wewe ni shahidi, umefanya ziara yako Mh. Katika maeneo mbalimbali kuikagua Barabara, tunakupongeza sana mbunge. 2024 na mbunge Komredi Hamis Tabasamu kila kitaa tutakifikia, asante mbunge, wacha tupate kitoweo kwanza" -Mwandishi wa Habari Radio Sengerema FM Emannuel Twimanye

Nyama tu inamtoa maneno yote hayo.
 
Mimi ni mkweli daima, the little brown envelopes, nimezipokea sana na kusema wazi wazi Waandishi wa Habari na Bahasha: Sio Kila Bahasha ni Rushwa ila sio bahasha za udhalilishaji namna hii!.

P
 
😂😂😂hamisi tabasamu na Kati ya sengerema ametishaaa
Sengerema hoyee mwanza hoyeee😂
Chezea mbuzi wa kafara ya mwaka mpya lazima mtu ajitoe ufahamu
Akimaliza hapo anapewa kakilo ka nyama ya mbuzi na elfu 20 ya kitenge Cha mama.
😂😂😂Itafahamika
Itajulikana
 
Attachments

  • Screenshot_20240103-102339_1.jpg
    Screenshot_20240103-102339_1.jpg
    76.2 KB · Views: 1
Sasa itabidi tutafute jina tofauti la kuwaita watu wa aina yake huyo maana uchawa naona kama halifai tena.
 
Hawa hata makande unawanunuwa njaa nikali mmno...
Hii nchi waandishi wakweli hawazidi 7 na hakuna vijana woote ni miaka 50+
Wengi ni wakujipendekeza wapate baasha ama wagombee vyeo kule kijanini,Bure kabisa
 
Wakuu heri ya mwaka mpya,

Kweli tunategemea mwandishi kama huyu atasimama imara kuibua maovu nchini? Kweli mwandishi wa hivi atakuwa mstari wa mbele kuibua kero zinazowakumba wananchi kama nyama tu mefanya kuwa chawa kiasi hiki?

Mwandishi unasifia kununuliwa viatu vya gharama? Sijui kununulia jezi ya ligi ya jimbo, huko kichwani kuna kitu kweli?

Tunategema ninyi ndio mpaze sauti za wananchi na kuwahabirisha kwa kuwapa taarifa sahihi ili waweze kufanya maamuzi sahihi, namna hii mnaaibisha taaifa, yaani mko cheap kuliko cheap yenyewe.

Halafu kwa ujinga wenu mnaona maisha mmeyapatia hapo! Kuna gharama kubwa ya kulipia, vyote mnavyokula mtalipa na mkishamalizika matumizi hao mnaliwa vichwa, lakini wala hamfikirii hilo. Wewe unaona umeukwaa lakini unasahau wewe ni mshiriki wa moja kwa moja kwenye kuwanyima haki watoto wako, ndugu zako na watanzania kwa ujumla. Ukosefu wa haki, unyonjaji, na uonevu wote wanaopitia watanzia wewe mmoja wa watu unayechangia dhuluma hii kuendelea.

"Kama unavyotazama, ni kitoweo cha mbuzi pamoja na kondoo amejitolea mbunge wa jimbo la sengerema, Mwanza, Mh. Hamisi Tabasamu. Waandishi wa Habari, radio free Africa, radio sengerema FM mwakilishi hapa unaniona Emannuel Twimanye, (kutoka) gazeti la mwananchi Makaka naye anapata hapa.

"Kubwa zaidi bila shaka hakuna mbunge wa aina hii mwenye kujitolewa kwa wanahabari wake kama wananchi wake wapiga kura wa kumsaidia, sisi ni waandishi ambao tunamuahidi Mubunge wa Jimbo la Sengerema Komredi Hamisi Tabasamu hakika tutaendelea kuchahapa nae kazi bega kwa begam waka 2024 si tu kwasababu ametoa nyama, yako mambo mengi ambayo ametusaidia mbunge.

"Ametusaidia vifaavya kwendda field hasa viatu vyenye gharama kubwa lakini pia jezi za michezo na burudani kwaajili ya kuhakikisha tunatangaza jimbo Cup 23, na hakika ilikuwa ya moto ambayo ni kama English Premier League, ligi pendwa kule uingereza. Timu 184 zimerindima katika jimbo la Sengerema

"Lakini si hayo tu, Mbunge amtusaidia mambo mengi ambayo kwa namna moja au nyingine yamkini tunasita kuyazungumza, wapo watu wenye wivu mkubwa wanaweza wakatufanyia hiyana.

"Na tukuahidi tu mbali na kitoweo hiki alivhokitoa mbunge pamoja na vifaa vya michezo; viatu tunakuahidi, kuna ngoma inakuja, gari jipya la waandishi wa habari.

"Mbunge tunakuomba ututazame 2024 utupe gari la kufikia maeneo mbalimbali kuandika kero za wananchi, maafa yanasumbua wananchi, nyumba zimedondoka watu wamekufa.

"Mbunge wewe ni shahidi, umefanya ziara yako Mh. Katika maeneo mbalimbali kuikagua Barabara, tunakupongeza sana mbunge. 2024 na mbunge Komredi Hamis Tabasamu kila kitaa tutakifikia, asante mbunge, wacha tupate kitoweo kwanza" -Mwandishi wa Habari Radio Sengerema FM Emannuel Twimanye
Njaa imekaa kichwani kwenye ubongo.....RFA huwa hawalipi midhahara anawakopa hata miezi 3 kwenda mbele waandishi wanabangaiza warsha semina na mitoko kama hiyo.....hatari kama Taifa....
 
Back
Top Bottom