Pre GE2025 Tunategemea mwandishi kama huyu atasimama kuibua maovu nchini kama ananunulika na minofu ya nyama tu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kiukweli ni aibu!
P
Unaona aibu kwa sababu sababu tukio kama hili limeandaliwa na mbunge Sengerema na kuwakarimu jamii ya eneo!
Hakika nikwambie matukio kama haya ni mengi mno tena tangue enzi na enzi na Pascal Mayalla umekula sana mema ya nchi kipindi cha Mkapa. Unazikumbuka zile safar zako Davos, London, Basel kwa ndege ya Serikali.

Hata kipindi hiki sijaona ukiwashangaa akina Balile, Kitenge - Wakala wa LI-DP WORLD wanavyojikomba kwa serikali ya awamu ya sita.
Mbona umeshangaa mambo ya sengerema!
 

Nyama tu inamtoa maneno yote hayo.
 
Kwa Sasa chawa imekuwa kazi rasmi Tanzania.
 
Mimi ni mkweli daima, the little brown envelopes, nimezipokea sana na kusema wazi wazi Waandishi wa Habari na Bahasha: Sio Kila Bahasha ni Rushwa ila sio bahasha za udhalilishaji namna hii!.

P
 
😂😂😂Itafahamika
Itajulikana
 

Attachments

  • Screenshot_20240103-102339_1.jpg
    76.2 KB · Views: 1
Sasa itabidi tutafute jina tofauti la kuwaita watu wa aina yake huyo maana uchawa naona kama halifai tena.
 
Hawa hata makande unawanunuwa njaa nikali mmno...
Hii nchi waandishi wakweli hawazidi 7 na hakuna vijana woote ni miaka 50+
Wengi ni wakujipendekeza wapate baasha ama wagombee vyeo kule kijanini,Bure kabisa
 
Njaa imekaa kichwani kwenye ubongo.....RFA huwa hawalipi midhahara anawakopa hata miezi 3 kwenda mbele waandishi wanabangaiza warsha semina na mitoko kama hiyo.....hatari kama Taifa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…