😂😂😂1,499,999/=
Boss mninga ni mbao ngumu inayodumu mda mrefu,Hivi huo mbinga huwa una nini cha ziada cha kusababisha bei iwe kubwa namna hio?
Mchwa wanakula mning vizuri tu, kwenye maji mbona fremu za kwenye choo zinaharibika hata kama ni mbinga.Boss mninga ni mbao ngumu inayodumu mda mrefu,
Hairibiki na maji wala kuliwa na mchwa,karibu sana
Kwabei hizo hupat mteja humu wengi mawinga na walimu na wafanyakaz wengine wa tamisemi kada ya afya, mabosi kwelkwel hawafiki 10 na hao waliopo nje ni wabeba box hawawez nunua dining table milion 1
Mbona kama unaongea ukweli sana mkuu?Kwabei hizo hupat mteja humu wengi mawinga na walimu na wafanyakaz wengine wa tamisemi kada ya afya, mabosi kwelkwel hawafiki 10 na hao waliopo nje ni wabeba box hawawez nunua dining table milion 1
boss mninga super ambao hauna white mchwa haugusi.Mchwa wanakula mning vizuri tu, kwenye maji mbona fremu za kwenye choo zinaharibika hata kama ni mbinga.
Kati ya mninga na mkarati mkongo na mgama ipi ngumu kuzidi nyingine?
Shukrani sana kwa maelekezo, nakutakia mafanikio.boss mninga super ambao hauna white mchwa haugusi.
Boss mbao kwa ubora mninga mkongo na mkarati zinachuana, mgama ni ngumu pia ila sio kama hizo zingine