Cantona fundi mkuu
JF-Expert Member
- May 21, 2023
- 295
- 313
Nipe oda boss ad mkoani tunafikaFurniture ziko vizuri.
Tuliopo mikao ambayo hata tiles ni anasa acha tuendelee kushangaa
Nipe kaz boss wanguHiyo round ya juu inatakiwa iwe inarotate! Kazi inafanyika?
View attachment 3419438
La vyombo laki 3 tu boss wangHongera sana kijana kwa kujitangaza
Kabati ya vyombo bei gani kwa milango miwili?
Huwezi kufikisha dongobesh mzee. Niamini mimiNipe oda boss ad mkoani tunafika
Nipe kaz boss wangu