Cantona fundi mkuu
JF-Expert Member
- May 21, 2023
- 295
- 313
Shukrani sana bossHongereni.
Sawa boss wangu karb sanaTutawasiliana soon, nahitaji ya cosmetics
Shukrani boss wangu.. karbu sanaAisee mko vizuri bless you
Mkiweka za spea za pikipiki ntawaunga
Zipo kuanzia laki 2 na nusu ad laki 4 na nusu boss inategemea na ukubwa unaotaka pia material yalyotumika.. kuna ya chuma na mbao na Kuna ya mbao tupu.. karb sana boss wanguZa mikoba bei gani