Tunatengeneza kwa oda kitchen cabinets. Showcase, tv units za kisasa. Makabati Aina yote. Kwa Bei mafuu kabisa

Tunatengeneza kwa oda kitchen cabinets. Showcase, tv units za kisasa. Makabati Aina yote. Kwa Bei mafuu kabisa

Cantona fundi mkuu

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2023
Posts
295
Reaction score
313
Karibu sana boss


FB_IMG_17448050150831025.jpg
FB_IMG_17448050150831025.jpg
FB_IMG_17448063503772315.jpg
FB_IMG_17444721649998360.jpg
FB_IMG_17442030743138730.jpg
 

Attachments

  • FB_IMG_17448050257289782.jpg
    FB_IMG_17448050257289782.jpg
    94.2 KB · Views: 29
  • FB_IMG_17448063418299504.jpg
    FB_IMG_17448063418299504.jpg
    101.6 KB · Views: 24
  • FB_IMG_17448050219195680.jpg
    FB_IMG_17448050219195680.jpg
    94.7 KB · Views: 24
  • FB_IMG_17448074568764148.jpg
    FB_IMG_17448074568764148.jpg
    169.4 KB · Views: 26
  • FB_IMG_17448050186500576.jpg
    FB_IMG_17448050186500576.jpg
    95.2 KB · Views: 25
  • FB_IMG_17448066159585903.jpg
    FB_IMG_17448066159585903.jpg
    213.4 KB · Views: 27
  • FB_IMG_17448062705981831.jpg
    FB_IMG_17448062705981831.jpg
    84.7 KB · Views: 26
  • FB_IMG_17448028864401023.jpg
    FB_IMG_17448028864401023.jpg
    104.4 KB · Views: 28
  • FB_IMG_17448062137863929.jpg
    FB_IMG_17448062137863929.jpg
    72.6 KB · Views: 27
  • FB_IMG_17448028782195163.jpg
    FB_IMG_17448028782195163.jpg
    104.4 KB · Views: 26
  • FB_IMG_17448063311057042.jpg
    FB_IMG_17448063311057042.jpg
    121.5 KB · Views: 28
  • FB_IMG_17448062889581091.jpg
    FB_IMG_17448062889581091.jpg
    86.1 KB · Views: 25
  • FB_IMG_17448028918716023.jpg
    FB_IMG_17448028918716023.jpg
    100.8 KB · Views: 26
  • FB_IMG_17448028634097954.jpg
    FB_IMG_17448028634097954.jpg
    99.4 KB · Views: 24
  • FB_IMG_17448062083777483.jpg
    FB_IMG_17448062083777483.jpg
    87.8 KB · Views: 29
  • FB_IMG_17448050298716925.jpg
    FB_IMG_17448050298716925.jpg
    111.5 KB · Views: 28
  • FB_IMG_17448028709018255.jpg
    FB_IMG_17448028709018255.jpg
    99.3 KB · Views: 27
  • FB_IMG_17448019816600614.jpg
    FB_IMG_17448019816600614.jpg
    97.4 KB · Views: 26
  • FB_IMG_17436721647316357.jpg
    FB_IMG_17436721647316357.jpg
    108.5 KB · Views: 28
  • FB_IMG_17444691438087289.jpg
    FB_IMG_17444691438087289.jpg
    191.9 KB · Views: 26
  • FB_IMG_17436736315178277.jpg
    FB_IMG_17436736315178277.jpg
    120.6 KB · Views: 28
  • FB_IMG_17442010631963562.jpg
    FB_IMG_17442010631963562.jpg
    101.1 KB · Views: 25
  • FB_IMG_17445550264966976.jpg
    FB_IMG_17445550264966976.jpg
    122 KB · Views: 26
  • FB_IMG_17442010565160177.jpg
    FB_IMG_17442010565160177.jpg
    108.8 KB · Views: 26
  • FB_IMG_17447469359286222.jpg
    FB_IMG_17447469359286222.jpg
    106.4 KB · Views: 32
FURNITURE ZETU NI IMARA NA ZA KISASA .....karibuni mjipatie Vtanda,shoe rack,makabati,kitchen cabinet ,aina mbali mbali kwa bei nafuu kabisa

Hizi ni bei zetu kwa baadhi ya furniture..

Showcase na TV units
Ni kuanzia 200,000/=

-sofa bed ..
5*6 vinaanzia 200,000/=
6*6 vinaanzia 250,000/=
7*6 vinaanzia 350,000

MAKABATI (NGUO NA VYOMBO)

-mlango mmoja 160,000/=
  • miwili. 280,000/=
  • mitatu. 380,000/=
  • sita. 690,000/=

Kitchen cabinets..

-kwa kila mita moja - 550,000/=
Bei hii ni juu na chini
Kwa kutumia soft wood

-kwa kila mita moja kwa kutumia hardwood itakua 750,000/=

Nipo dar.
Watsapp namba 0688872210

View attachment 3306368View attachment 3306373View attachment 3306374View attachment 3306394View attachment 3306395
Mnatengeneza au mnaunganisha? Mnaanza from scratch wenyewe kutoka kwenye mbao za Tanzania au mna-import parts na kuunganisha?
 
Bei zinakuwa sio uhalisia, ndio tatizo lenu...ngoja na huku mchina awakute

We li-plywood ununue 50k, 8 × 6 kisha we ukamuuzie mtu 550k kwa mita, kisha umeunga kwa 2×2 na misumari kadhaa?

Mnafanya watu washindwe kuwa na vitu vya kuonekana vizuri sababu ya bei zisizo kawaida.
 
Bei zinakuwa sio uhalisia, ndio tatizo lenu...ngoja na huku mchina awakute

We li-plywood ununue 50k, 8 × 6 kisha we ukamuuzie mtu 550k kwa mita, kisha umeunga kwa 2×2 na misumari kadhaa?

Mnafanya watu washindwe kuwa na vitu vya kuonekana vizuri sababu ya bei zisizo kawaida.
Boss umerahisisha sana.
Ngoja nkujibu kwa mifano.
Km unakabati la ngua chukua upana wake Kisha nenda kwny chumba Cha jiko lako..

Chukua huo upana tengenezea taswira ya kuyapanga ukita mzima au pande zote utakazo taka jiko lako liwepo.. Kisha ukipata idadi ya makabati zidisha kwa Bei ulyonunulia kabati lako.. utakuja kupata jibu

Nmekupa mfano mwepesi ila ukihitaji hesabu kamili mcheki fundi kwa namba izo apo kwenye post.
 
Bei zinakuwa sio uhalisia, ndio tatizo lenu...ngoja na huku mchina awakute

We li-plywood ununue 50k, 8 × 6 kisha we ukamuuzie mtu 550k kwa mita, kisha umeunga kwa 2×2 na misumari kadhaa?

Mnafanya watu washindwe kuwa na vitu vya kuonekana vizuri sababu ya bei zisizo kawaida.
Hahaha fundi
 
Back
Top Bottom