Tunatengeneza mabango ya 3D yawakayo

Opulent

Member
Joined
Sep 6, 2024
Posts
33
Reaction score
40

Mabango ya acrylic 3D yawakayo
Ni mabango yenye herufi zilizoumuka zionekanazo pande 3(3D) na zenye mfumo wa umeme.

Huundwa toka kwenye material ya akriliki ambapo ni aina ya plastic inayoonekana kama kioo lakini nyepesi na laini itumikayo kama mbadala salama wa kioo.

Kulingana nakua na herufi zenye
mfumo wa umeme hivyo tunakuunganishia kwenye mfumo wako wa taa ili pindi uwashapo taa na bango
nalo linawaka.

Ukiwa na bango la 3D:

1.Ni kama duka lako limepata sauti ya ukaribisho ifikayo mbali, bila hata wewe kutumia nguvu kutamka ujumbe wa ukaribisho.

2.Ni kama duka lako linakua star wa mtaa ambapo kila mteja angependa afanye manunuzi dukani kwako kulingana na mvuto wa nje ulowekeza mbele ya duka lako.

3.Inajenga Imani kwa mteja hata kabla hajaingia ndani ya duka lako kua sehemu anayoingia ni sahihi na inaweza tatua mahitaji yake.

4.Ni ulinzi wa biashara yako dhidi ya washindani ambao wangekunyakulia wateja.





Bei ya bango la 3D hua kwa mita moja, Mita moja(100cm) ya bango la 3D Tsh 450,000

Alucobond panels installation

Pia tunafunga panels za alucobonds kwenye kuta kuboresha muonekano wa mbele katika biashara yako au katika jengo.

Kwa kimombo tungeweza sema: Alucobond panels are like a super stylish and durable skin that can elevate any building, transforming a simple structure into a striking landmark

Bei hutegemeana na idadi ya panels zitazotumika kwenye ukuta hivyo vipimo huhitajika kupata bei.

Contacts & Business Address
📍Tupo Dar, Ubungo-Mawasiliano

☎️ Whatsapp/call 0743147859
 

Showing love to Hedonia Kids kwa kutuamini nakutupa kazi yakuwatengenezea bango la Ofisi yao litaloipa kuonekana hata kwenye masaa ya jioni yenye kiza.

Hedonia kids ni wauzaji wa nguo za watoto na mahitaji ya kina mama wajawazito. Wapo Mwenge- Lufungila, Karibu na Mlimani city.

Bei kwa mita 1(100cm) Tsh 450,000
Bango Kwa post ni mita 3.....(3× 450,000)

Free installation
 

Cheers to CHIKI CHOMA kwa kutupa kazi yakuwatengenezea bango la Mgahawa wao.

CHIKI CHOMA wapo Kahama-Shinyanga.

Bei kwa mita 1(100cm) Tsh 450,000
Bango Kwa post ni mita 2....(2× 450,000)
 

Endless thanks to Trendy wardrobe kwa kutupa biashara yakuwatengenezea bango.

Trendy wardrobe ni wauzaji wa nguo za maofisini za wanawake,Wapo Uzunguni- Dodoma
 
Kwa 3D yanayowaka, nimeona baadhi bitaa vinaungua, inakuaje afterservice na kwa muda gani mtamtengenezea bure mteja.
 
Nitakutafuta nikikamilisha ka hotel changu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…