Tunatengeneza mabango ya 3D yawakayo

Tunatengeneza mabango ya 3D yawakayo

IMG-20240824-WA0026(3) (1).jpg

Wide base Roll up banner
Ni bango lenye mfumo wa kukunjika na kukunjuliwa kama mwamvuli, hivyo linakua rahisi
kulibeba nakulihamisha mahali popote unapopahitaji. Linaweza kuwekwa katika maonyesho, mikutano
au ofisini.

Wide base Roll up banner huhimili hata upepo wenye nguvu tofauti na narrow base hivyo zuri zaidi Kwa maonyesho ya nje kulingana na sifa hii ya uhimilivu dhidi ya upepo.

Bei Tsh 160,000
 
0008 (1).jpg

Narrow Base Roll up banner
Na jenyewe ni bango lenye mfumo wa kukunjika na kukunjuliwa kama mwamvuli, hivyo linakua rahisi
kulibeba nakulihamisha mahali popote unapopahitaji. Linaweza kuwekwa katika maonyesho, mikutano au ofisini.

Ni bango lenye kuainisha huduma zitolewazo na Ofisi yako.

N:B halistahimili upepo kama maonyesho ni ya nje penye upepo mkali.

Bei Tsh 140,000
 
nunu.jpg

A huge salute to Nunu's Lingerie, grateful for the opportunity to serve you.

Nunu's Lingerie ni wauzaji wa nguo za ndani za wanawake, Wapo Kimara-Korogwe

Bei kwa mita, Mita moja ya bango la 3D Tsh 450,000

Bango Kwa post ni Mita 1.....(450,000×1)
 
AFRICURE.jpg

Of course, we can't forget to give a shout-out to Africure Pharmacy Kwa kutusupport.

Bei kwa mita, Mita moja ya bango la 3D Tsh 450,000

Bango Kwa post ni Mita 1.....(450,000×3.5)
 
FB_IMG_1729178734284 (1).jpg


A huge salute to Hiba Jewelry, grateful for the opportunity to serve you.

Bei kwa mita, Mita moja ya bango la 3D Tsh 450,000

Bango Kwa post ni Mita 1.....(450,000×1)
 
Screenshot_20241025-120839 (1).png

Many thanks to Apex world Kwa kutupa biashara ya kuwatengenezea bango la Ofisi yao.

Apex world ni wauzaji wa simu za Iphones & accessories zake pamoja na genuine high end speakers. Wapo Makumbusho.

Kwa mahitaji ya Mabango Kwa Ofisi yako cheki nasi
Whatsapp/call 0743147859
 
Screenshot_20241101-163044 (1).png

Tumekutana kwa Jamii forums platform with boss wa ZURI na akatupa biashara yakutengeza bango la 3D Kwa biashara yake iliyopo Zanzibar.

Thanks for choosing us for your 3D signage! We hope it helps you attract more customers.

Let's link up tufanye jambo kwa biashara yako pia:
☎️ 0743147859
📍 Ubungo-Mawasiliano
 
Mioyo yetu imejaa huzuni kufuatia janga la kuporomoka kwa jengo katika eneo lenye shughuli nyingi jijini. Tunawaombea majeruhi uponyaji juu ya majeraha.

Kwa wale waliopoteza wapendwa wao, sala zetu ziko pamoja nanyi na Wapendwa waliotangulia wapumzike kwa amani, na familia zipate faraja katika siku zijazo.

Tunasimama pamoja nanyi katika janga hili, Amen
 
Screenshot_20241122-193806 (2).png

Bango kama asset yakuvuta wateja zaidi mlangoni pa duka lako.

☎️07431417859
📍 Ubungo-Mawasiliano
 
20241127_170651.jpg

Wakala anayeonekana ndie anayefikiwa zaidi. Ndugu wakala busti sasa mzunguko wako na mabango ya 3D yaipayo biashara yako kuonekana zaidi hata katika upeo wa mbali bila kujalisha kua ni usiku kwani kwa usiku yanawaka taa.

☎️0743147859

📍 Ubungo-Mawasiliano
 
Screenshot_20241203-161127 (1).png

Ndio, bango la 3D lina gharama, lakini kukosa wateja Kwa sababu yakutoonekana nako kuna gharama yake!

Ni kama kutokununua ngazi halafu unalalamika kwamba maembe yako juu sana mtini

Tu washirika wako katika kuiinua biashara yako kupitia bango za 3D
 
Screenshot_20241203-161158 (2).png

Ukiwa na bango la 3D ni kama duka lako limepata sauti ya ukaribisho ifikayo mbali, bila hata wewe kutumia nguvu kutamka ujumbe wa ukaribisho.

☎️Whatsapp/call 0743717072
📍 Ubungo-Mawasiliano
 
Kwa wateja wetu wa thamani, Shukrani za dhati ziwaendee kwa support thabiti kupitia biashara zote mlizotupa mwaka 2024.

Tunafurahi kua nanyi & Tunatazamia kuwatumikia tena mwaka 2025.

Tunakutakia kheri & fanaka katika mwaka huu mpya.

🙏
 
Kwa wateja wetu wa thamani, Shukrani za dhati ziwaendee kwa support thabiti kupitia biashara zote mlizotupa mwaka 2024.

Tunafurahi kua nanyi & Tunatazamia kuwatumikia tena mwaka 2025.

Tunakutakia kheri & fanaka katika mwaka huu mpya.


🙏
 
Back
Top Bottom