Logo ni alama au nembo iliyodizainiwa mahsusi kwa ajili ya biashara yako, inayotumika kukutambulisha nje na ndani ya ofisi. Au Logo ni alama au nembo inayotumika kutambulisha huduma,bidhaa,kampuni au mfumo wowote wa vikundi.
Logo au nembo inamaanisha vitu vingi kuhusu biashara yako kulingana na muonekano wake , biashara nyingi sana utambulisho wake hupatikana kwanza kwenye logo,matangazo mengi hulenga watu kukumbuka lengo na logo ya biashara. Logo ndio kitu ambacho mtu hufikiria anaposikia jina la kampuni au biashara yako.
Wasiliana nasi sasa kwa huduma zetu za Logo Design: 0621454246 / 0711414246.